Recent content by Jamandiga Karuka

  1. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Wizara zetu zina majina marefu mno, tuyafupishe!!

    😀😀 wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Swali langu ni je, kimataifa siyo nje ya nchi? Sijui shida yetu waTanganyika ni ipi. Mambo ya nje ingetosha maana hata ukiwa Rwanda, Kenya, USA, UK, Brazil, Zambia, India etc bado ziko confined within...
  2. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Wapiga porojo wa zama hizi mlitaka Rais wa aina gani?

    Anajipendekeza ili kuonesha wateule kuwa ni mzalendo, bila kuweka jina na namba ya simu Lumumba hawatamjua kwa urahisi kuwa yuko upande wao.
  3. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wana haki ya kuwaagiza Polisi kufanya Upolisi?!?

    Polisi wa nchi gani?
  4. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania CCM yataka vyama vyenye uzalendo

    Anasema nn huyo Katibu? Maana mm nikiona nguo ya kijani macho yanajaa tongotongo ninakuwa siwezi tena kusoma hayo maandishi vizuri.
  5. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inapaswa kuwa tulivu inapotoa taarifa zake kwa umma

    Sijui ana sifa gani za pekee zilizosababisha apewe hiyo ofisi, nadhani ilitakiwa apewe mtu mwenye utulivu mzuri wa akili na anayeweza kutoa hata ushauri nn kiandikwe na nn kisiandikwe. Huyu hana tofauti na hawa maDC tunaowaona kwa sasa.
  6. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara Kushtakiwa Mahakama ya Africa

    Bara la Afrika lina maajabu yake, viongozi wanaolalamikiwa kukandamiza uhuru wa habari, haki za binadamu, kutawala kwa mkono wa chuma, kukandamiza upinzani ndo wanabadilishana vijiti kuongoza umoja huu wa nchi huru za Afrika!
  7. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara Kushtakiwa Mahakama ya Africa

    Hizi mahakama zinaweza kutoa uamuzi na nchi husika ikalazimika kutekeleza kweli? Ngoja tusubiri, m/kiti wa Umoja wa Afrika eti ni KAGAME😳
  8. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Je, Dr.Mashinji na Salum Mwalimu wajiuze kwa CCM ili kesi yao ya mauaji ife?

    Akijitokeza hata mmoja akahamia CCM kutakuwa na danadana za kutosha na hatimaye itaonekana hakuna ushahidi wa kutosha, au atapatikana na hatia na kuhukumiwa aidha kifungo cha miaka 3 au faini laki 5 (siyo mil 5). Mtatiro yy mchezo wake uliishia polisi, akajifanya eti anajipa mwezi mmoja wa...
  9. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Salum Kindamba: Polisi wanadai ni jambazi. Mkuu wa wilaya aenda msibani. Daktari kabadili ripoti ya kifo. Waziri anachunguza

    watalegeza tu msimamo, DC ambae ni CCM ameishaenda kuwapa mkono wa pole.
  10. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhalali wa muungano kunguruma tena

    Mimi hadi leo sijui kwa nini mambo yafuatayo kuyagusa/kuyaongelea inatafasiriwa na CCM kama mtu huyo anatenda kosa la uhaini: 1. Muungano. Kama kuna mambo hayako sawa kwa mahitaji ya sasa kwa nini katiba isitazamwe upya? Mbona sheria za mitandao zinapinduliwa kila siku kwa matakwa fulani fulani...
  11. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania To The US Deputy Chief of Mission in Tanzania

    I’m absolutely against CCM, but the above statement is simply a rubbish created by some hooligans at Kariakoo streets. How possible that someone came intentionally to seizure your candidate’s form and escaped uninjured! Shamelessly the Party’s zone General Secretary comes out on media to...
  12. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

    Sawa tutaanza KUPONGEZA mazuri anayofanya Rais kama sehemu ya WAJIBU wake. Vipi nyie msiokuwa wapinzani kuna ambayo mnakosoa pale ambapo wajibu hautekelezwi ipasavyo au nikusifu tu kila jambo? Tunaomba tujifunze kutoka kwako ni yapi UMESIFIA na ni yapi UMEPINGA/ UMEKOSOA.
  13. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Cyprian Musiba na timu yake wasiende Mahakamani?

    Ukiwa upande wa chama tawala unakuwa juu ya sheria.
  14. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania NEC yawataka wamarekani kutoa uthibitisho wa madai yao kuhusu Chaguzi za Agosti 2018

    Kwa hiyo kama alikosea inakuwa na ticket ya ss kukosea pia ili tulingane. Their concern is fair political space, sasa ww hayo ya kwamba walimuua Gaddafi ni ya kwako. Mfano ww ulitakaje kwa Libya, yaani awepo mtu mmoja tu ambaye anaamua huu ni muda wa kulala, huu ni muda wa kuoa, hii pesa...
  15. Jamandiga Karuka

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya Bodi ya Walimu yaja. Itakuwa lazima wasajiliwe, ukifungwa miezi 6 unafutiwa usajili

    Mbona board yenyewe imejikita kutoa adhabu tu kwa huyo anayeitwa mwalimu, mara kifungo, sijui kufutiwa leseni, mara leseni kusitishwa nk. Sijaona wanapowajibika kumtetea mwalimu kama atakuwa ananyimwa haki zake na mwajiri kwa wakati mfano: 1. Kutopandishwa daraja la utumishi na hivyo kuendelea...
Back
Top Bottom