Kesi ya uhalali wa muungano kunguruma tena

Kesi ya uhalali wa muungano kunguruma tena

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Mapambano yanaendelea, kama ccm ingesikiliza maoni ya wananchi juu ya katiba mpya ya wananchi haya tungesahau. Lkn kwa ubabe wa ccm kujifanya wana hati miliki wa nchi ndio huzaa matunda haya. Utengano
FB_IMG_1535138498562.jpg
FB_IMG_1535138491021.jpg
FB_IMG_1535138484745.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hadi leo sijui kwa nini mambo yafuatayo kuyagusa/kuyaongelea inatafasiriwa na CCM kama mtu huyo anatenda kosa la uhaini:
1. Muungano. Kama kuna mambo hayako sawa kwa mahitaji ya sasa kwa nini katiba isitazamwe upya? Mbona sheria za mitandao zinapinduliwa kila siku kwa matakwa fulani fulani?

2. Mwenge wa uhuru kwa nini kila mwaka unazunguka kijiji hadi kijiji? Yaani bado huduma za maji, barabara, umeme, afya, elimu ni duni, lakini hela ya mwenge ipo. Hii haina tofauti na slogan ya “watu wale majani ili ndege ya Rais inunuliwe”.

Haya, tusubiri labda 2025!
 
1.muungano. Lazima eneo hili lilindwe Kwa nguvu zote, ukivunja tu Muungano nchi inakuwa uchi tutachunguliwa kama tupo vyoo vya makuti mkuranga au lindi huko, zanzibar ni paa la nchi.

Hii ndio sababu kuu ya tanganyika kumshikiria zanzibar si kimabavu lakini kiakili zaidi.

2.Mwenge ni moja ya alama za taifa ila cha ajabu waliotoa ushauri wa uanzishwaji wa mwenge inasemekana walikuwa washirikina basi naweza kuhitimisha kwamba mwenge ni tambiko la taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka kutingisha Muungano asagwe sagwe hadi Mwisho
 
hao waliopeleka kesi mahakamani wanajisumbua heri wangetafuta njia nyingine kujitoa kwenye muungano
 
hao waliopeleka kesi mahakamani wanajisumbua heri wangetafuta njia nyingine kujitoa kwenye muungano
Njia pekee ya kujitoa kwenye Muungano ni kukubali serikali Moja au kukaa kimya tuendelee hivi ulivyo nje na hapo wanachosha shibe tu.

Hakuna mtanzania mzalendo atataka wazanzibari wauvunje muungano kizembekizembe tu haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh kiukweli kuna mambo ni magumu ni zaidi ya ndoa.
Mwaka wa Mughwai aliongea sana hii mambo
 
Back
Top Bottom