Recent content by jamalizo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ajira portal Utumishi unaweza kudelete sehemu yoyote ulipokosea lakini kipengele cha education qualifications No!

    Ulifanikiwa mkuu? mi mwenyewe inanisumbua sana hii ishu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi, nimesoma Microfinance & Accounting

    Umeongea vizuri sana kaka, nashukuru kwa ushauri. Naomba mawasiliano yako ndugu nitaomba ushauri zaidi kutoka kwako ndugu kama hutojali
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi, nimesoma Microfinance & Accounting

    Habari zenu ndugu zangu, Nakuja mbele yenu ndugu zangu kuomba kazi/ajira kama nilivyoandika hapo juu.Naomba msaada wenu ndugu zangu. Elimu yangu:- 1. Bachelor of Arts in Microfinance and Enterprise Development 2. Diploma in Cooperative Management and Accounting 3. Certificate in Management...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habarini wakuu, Mwenye connection wakuu.. Elimu:- 1.Bachelor of Arts in Microfinance and Enterprise Development 2.Diploma in Cooperative Management and Accounting 3.Certificate in Management and Accounting Nina uzoefu wa miezi takriban mitatu kwenye SACCOS
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mtu aliye Chuo cha Usimamizi wa Mahakama Lushoto (IJA)

    Habari zenu wadau? Ninatafuta mtu anaekijua au anaesoma hapo IJA ninataka nimpeleke ndugu yangu kusoma hapo ila sijapata information za kutosha, naomba unichek hata PM. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    MKUU NA HIII NICHEKIE PLZ S2123.0102.2010
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    MKUU NAOMBA UNICHEKIE PLZ YANGU INA LOAD TU S2123/0102/2010
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili plz!

    Mi ni diploma holder na hiyo ni for third round maybe nijaribu 4th round
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili plz!

    hii ni third round mzee labda useme nisubiri 4th round
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili plz!

    Habari zenu Nilikuwa najaribu kuingia tcu kuchek kama Niko selected imeniletea hivyo na nimeingiza form 4 index na e-mail pia majibu ni hayo hayo..Nisaidieni ina maana gani hii??
  11. J

    JamiiForums Tanzania mocu

    unakuja MoCU first year?karibu mi ni continuous,kama una ishu nichek +255716793400
  12. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa shule ya msingi nipo bumbui ningependa tubadilishane kituo kama upo dar na upo tayar kuja bumbui tutafutane please
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kujaza watu kwenye mikutano ya kampeni ya uchaguzi sio kura ya ushindi

    Habari zenu ndugu zangu?? Kujaza Watu kwenye Mikutano ya KAMPENI haina maana sana, kwani kinachohitajika ni KURA kwa mgombea wako. Nashangaa kuona watu wanajibizana kuwa huyu kajaza watu yule hajajaza watu lakini wanasahau kuwa kitakachomuingiza IKULU huyo Mgombea ni KURA. Hili suala...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    uko chuo gani??????
Back
Top Bottom