Naomba kazi, nimesoma Microfinance & Accounting

jamalizo

Member
Oct 1, 2015
27
3
Habari zenu ndugu zangu,

Nakuja mbele yenu ndugu zangu kuomba kazi/ajira kama nilivyoandika hapo juu.Naomba msaada wenu ndugu zangu.

Elimu yangu:-
1. Bachelor of Arts in Microfinance and Enterprise Development
2. Diploma in Cooperative Management and Accounting
3. Certificate in Management and Accounting
Nimesomea computer applications pia nina ujuzi pia wa SPSS kidogo

Nimefanya field ofisi mbali mbali nikiwa kama ASSISTANT ACCOUNTANT

Naomba msaada wenu please
 
Sina Job ya Kukupa kama jinsi ombi lako ulivyoliwasilisha ila nina ka ushauri kadogo juu ya namna unavyotakiwa kuomba kazi.

Umesema umeshawahi kufanya kazi ofisi mbalimbali, Wow! Hongera! Maana kuna graduates wengi wako na zero experience at least hata ww una cha kujidai.

Anyway, let me get straight to the point. Fanya yafuatayo yatakurahisishia au yatakuweka mahali pazuri zaidi kwenye kutafuta Ajira, right? Just try these tips, you never know : )

>> Usipende sana kutanguliza elimu uliyonayo unless unaomba kazi serikalini. Humu jamvini au kwenye platform zingine tanguliza work experience yako kwanza!

Unajua nikisema work experience namaanisha nini? (Let me guess what you think, unadhani ni kazi zote ambazo umeshawahi kufanya toka uanze chuo.. is that what you're thinking? If yes, you are Wrong!)

Work Experience inatakiwa iwe na uwiano. Hujaelewa tena, okay, let me explain;
Hakunaga "KAZI YOYOTE" so better be specific, ngoja nikusaidie kwa mifano.

Imagine kuna watu wawili wenye shahada ya Computer Science. Wote wanatafuta kazi. Mmoja ameweka heading kwenye CV yake kuwa yeye ni Programmer mwenye uzoefu wa kutumia Python, PHP na Javascript. Pia akaorodhesha na projects ambazo ameshafanya so far, plus softwares na platforms ambazo ana uzoefu nazo.

Mwingine akaweka heading ya IT au Computer Scientist na kwamba ameshafanya kazi sehemu nyingi kama unavyosema ww hapo juu. Mfano alishakua IT Officer au Teacher wa Computer mahali.

Who do you think itakua rahisi to attract hiring managers? Actually ni the first one. Unajua kwanini? Yuko very Specific. It might take some times, yes, lakini CV yake ni rahisi sana kubebwa ikitokea related vacancy!

So my Brother, epuka general terms like "Kazi Yoyote" when looking for a job. I would not hire any applicants who put his advert like that. So change it. Put something like you are a professional "Accountant" na umeshafanya kazi na software zipi so far... kama ni sage pastel, palladium enterprises, tally au unajua VBA n.k

Then kwenye work experience yako weka zile experience zinahusiana na accounting tu! Sio uweke tena umeshawahi kufanya kazi ya receptionist mahali, au umeshaenda pia JKT, maana hazitakusaidia kitu, sana sana zitamchosha afisa mwajiri kusoma.

Another one, Skills!!!!! Dont just mention uko na good communication skills, au uko analytical or kujiita problem solver. Prepare stories to backup your skills, Man! Wewe ni problem solver kwa matatizo gani ambayo umeshasolve? Analytical how? Unasema uko na positive attitude, okay, what made you think uko na positive attitude? You need stories! Ni muhimu kuwa na real world scenarios zinazo.reveals your personal skills na sio maneno maneno tu.

Kitu Kingine. Think in terms of what can you do for the company? Ukiwa unapeleka bahasha yako au unaandika barua ya kuomba job mahali, show them they need you and not that you need them!

Sijui kama unanielewa vizuri.. anyway, ngoja nikueleweshe. Unatakiwa ujue kampuni/shirika linafanyaje kazi na uwezo wako wewe utawasaidia vipi wao to grow.

La Mwisho, Umeshawahi kujiuliza kwanini unatafuta kazi? Is it because of Money, Passion, Status or Career Growth?

Kama unatafuta kazi kwa sababu ya Career Growth au Passion basi sio lazima uanze na kazi ya kulipwa mshahara. Unaweza ukajitolea tu mahali (Internship) hata kama hakuna food & transport allowance. But unajua siri ya Internship ni nini? Work Smarter and Harder kuliko walioajiriwa. Weka malengo ya kuacha impressions kila siku unayoondoka kwenye office zao. Kumbuka hata kupata Internship sasa hivi sio kazi rahisi, so ukipata usiangalie mtu usoni piga kazi, jifunze vitu kwa kasi sana, you never know, mwisho wa siku hakuna Boss aliye tayari kumpoteza mtu mwenye potential kubwa kwenye kampuni yake. But first, you need to show your potential. Sasa ndugu yangu, kama una katabia ka kuiga maisha ya watu, umepewa ka nafasi ka kujitolea lakini unafanya kazi kwa ku relax kama umeajiriwa jiandae kwenda na maji!

Kama unatafuta kazi kwa ajili ya Status au Money tu. Then, Don't waste much time there kama mambo hayaendi... Jaribu pia mishe zingine zinazoweza kukuingizia hela na usione aibu kuchekwa, kufeli au kufulia. Najua this is the hard way lakini worryout, by the yard it's hard; but inch by inch, anything's a cinch!

Nimeona umeandika kuwa unakaribia kukata tamaa. Ndugu, Siri kuu ya Mafanikio Duniani huwa ni Moja tu, DON'T EVER GIVE UP, EVER.

All the Best.
#laskaboza
 
Umeongea vizuri sana kaka, nashukuru kwa ushauri. Naomba mawasiliano yako ndugu nitaomba ushauri zaidi kutoka kwako ndugu kama hutojali
 
Sina Job ya Kukupa kama jinsi ombi lako ulivyoliwasilisha ila nina ka ushauri kadogo juu ya namna unavyotakiwa kuomba kazi.

Umesema umeshawahi kufanya kazi ofisi mbalimbali, Wow! Hongera! Maana kuna graduates wengi wako na zero experience at least hata ww una cha kujidai.

Anyway, let me get straight to the point. Fanya yafuatayo yatakurahisishia au yatakuweka mahali pazuri zaidi kwenye kutafuta Ajira, right? Just try these tips, you never know : )

>> Usipende sana kutanguliza elimu uliyonayo unless unaomba kazi serikalini. Humu jamvini au kwenye platform zingine tanguliza work experience yako kwanza!

Unajua nikisema work experience namaanisha nini? (Let me guess what you think, unadhani ni kazi zote ambazo umeshawahi kufanya toka uanze chuo.. is that what you're thinking? If yes, you are Wrong!)

Work Experience inatakiwa iwe na uwiano. Hujaelewa tena, okay, let me explain;
Hakunaga "KAZI YOYOTE" so better be specific, ngoja nikusaidie kwa mifano.

Imagine kuna watu wawili wenye shahada ya Computer Science. Wote wanatafuta kazi. Mmoja ameweka heading kwenye CV yake kuwa yeye ni Programmer mwenye uzoefu wa kutumia Python, PHP na Javascript. Pia akaorodhesha na projects ambazo ameshafanya so far, plus softwares na platforms ambazo ana uzoefu nazo.

Mwingine akaweka heading ya Jina lake tu na kwamba meshafanya kazi sehemu nyingi kama unavyosema ww hapo juu. Mfano alishakua IT Officer au Teacher wa Computer mahali.

Who do you think itakua rahisi to attract hiring managers? Actually ni the first one. Unajua kwanini? Yuko very Specific. It might take some times, yes, lakini CV yake ni rahisi sana kubebwa ikitokea related vacancy!

So my Brother, epuka general terms like "Kazi Yoyote" when looking for a job. I would never hire any applicants who put his advert like that. Its more unprofessional. So change it. Put something like you are a professional "Accountant" na umeshafanya kazi na software zipi so far... kama ni sage pastel, palladium enterprises, tally au unajua VBA n.k

Then kwenye work experience yako weka zile experience zinahusiana na accounting tu! Sio uweke tena umeshawahi kufanya kazi ya receptionist mahali, au umeshaenda pia JKT, maana hazitakusaidia kitu, sana sana zitamchosha afisa mwajiri kusoma.

Another one, Skills!!!!! Dont just mention uko na good communication skills, au uko analytical or kujiita problem solver. Prepare stories to backup your skills, Man! Wewe ni problem solver kwa matatizo gani ambayo umeshasolve? Analytical how? Unasema uko na positive attitude, okay, what made you think uko na positive attitude? You need stories! Ni muhimu kuwa na real world scenarios zinazo.reveals your personal skills na sio maneno maneno tu.

Kitu Kingine. Think in terms of what can you do for the company? Ukiwa unapeleka bahasha yako au unaandika barua ya kuomba job mahali, show them they need you and not that you need them!

Sijui kama unanielewa vizuri, haha.. ngoja nikueleweshe. Unatakiwa ujue kampuni/shirika linafanyaje kazi na uwezo wako wewe utawasaidia vipi wao to grow.

La Mwisho, Umeshawahi kujiuliza kwanini unatafuta kazi? Is it because of Money, Passion, Status or Career Growth?
Kama unatafuta kazi kwa ajili ya Status au Money tu. Then, Don't waste much time there kama mambo hayaendi... Jaribu pia mishe zingine zinazoweza kukuingizia hela na usione aibu kuchekwa, kufeli au kufulia. Most of us are on the same lane!!

Nimeona umeandika kuwa unakaribia kukata tamaa. Ndugu, Siri ya Mafanikio Duniani huwa ni Moja tu, zingine zote ni Mbwembwe. DON'T EVER GIVE UP, EVER.

All the Best.
#LaskaBoza
God truly created you with the gift of being able to arrange Cv.
 
Sina Job ya Kukupa kama jinsi ombi lako ulivyoliwasilisha ila nina ka ushauri kadogo juu ya namna unavyotakiwa kuomba kazi.

Umesema umeshawahi kufanya kazi ofisi mbalimbali, Wow! Hongera! Maana kuna graduates wengi wako na zero experience at least hata ww una cha kujidai.

Anyway, let me get straight to the point. Fanya yafuatayo yatakurahisishia au yatakuweka mahali pazuri zaidi kwenye kutafuta Ajira, right? Just try these tips, you never know : )

>> Usipende sana kutanguliza elimu uliyonayo unless unaomba kazi serikalini. Humu jamvini au kwenye platform zingine tanguliza work experience yako kwanza!

Unajua nikisema work experience namaanisha nini? (Let me guess what you think, unadhani ni kazi zote ambazo umeshawahi kufanya toka uanze chuo.. is that what you're thinking? If yes, you are Wrong!)

Work Experience inatakiwa iwe na uwiano. Hujaelewa tena, okay, let me explain;
Hakunaga "KAZI YOYOTE" so better be specific, ngoja nikusaidie kwa mifano.

Imagine kuna watu wawili wenye shahada ya Computer Science. Wote wanatafuta kazi. Mmoja ameweka heading kwenye CV yake kuwa yeye ni Programmer mwenye uzoefu wa kutumia Python, PHP na Javascript. Pia akaorodhesha na projects ambazo ameshafanya so far, plus softwares na platforms ambazo ana uzoefu nazo.

Mwingine akaweka heading ya IT au Computer Scientist na kwamba meshafanya kazi sehemu nyingi kama unavyosema ww hapo juu. Mfano alishakua IT Officer au Teacher wa Computer mahali.

Who do you think itakua rahisi to attract hiring managers? Actually ni the first one. Unajua kwanini? Yuko very Specific. It might take some times, yes, lakini CV yake ni rahisi sana kubebwa ikitokea related vacancy!

So my Brother, epuka general terms like "Kazi Yoyote" when looking for a job. I would never hire any applicants who put his advert like that. Its more unprofessional. So change it. Put something like you are a professional "Accountant" na umeshafanya kazi na software zipi so far... kama ni sage pastel, palladium enterprises, tally au unajua VBA n.k

Then kwenye work experience yako weka zile experience zinahusiana na accounting tu! Sio uweke tena umeshawahi kufanya kazi ya receptionist mahali, au umeshaenda pia JKT, maana hazitakusaidia kitu, sana sana zitamchosha afisa mwajiri kusoma.

Another one, Skills!!!!! Dont just mention uko na good communication skills, au uko analytical or kujiita problem solver. Prepare stories to backup your skills, Man! Wewe ni problem solver kwa matatizo gani ambayo umeshasolve? Analytical how? Unasema uko na positive attitude, okay, what made you think uko na positive attitude? You need stories! Ni muhimu kuwa na real world scenarios zinazo.reveals your personal skills na sio maneno maneno tu.

Kitu Kingine. Think in terms of what can you do for the company? Ukiwa unapeleka bahasha yako au unaandika barua ya kuomba job mahali, show them they need you and not that you need them!

Sijui kama unanielewa vizuri.. anyway, ngoja nikueleweshe. Unatakiwa ujue kampuni/shirika linafanyaje kazi na uwezo wako wewe utawasaidia vipi wao to grow.

La Mwisho, Umeshawahi kujiuliza kwanini unatafuta kazi? Is it because of Money, Passion, Status or Career Growth?
Kama unatafuta kazi kwa ajili ya Status au Money tu. Then, Don't waste much time there kama mambo hayaendi... Jaribu pia mishe zingine zinazoweza kukuingizia hela na usione aibu kuchekwa, kufeli au kufulia. Most of us are on the same lane!!

Nimeona umeandika kuwa unakaribia kukata tamaa. Ndugu, Siri ya Mafanikio Duniani huwa ni Moja tu, zingine zote ni Mbwembwe. DON'T EVER GIVE UP, EVER.

All the Best.
#LaskaBoza
...you have my honour chief.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nakuja mbele yenu ndugu zangu kuomba kazi/ajira kama nilivyoandika hapo juu.Naomba msaada wenu ndugu zangu.

Elimu yangu:-
1. Bachelor of Arts in Microfinance and Enterprise Development
2. Diploma in Cooperative Management and Accounting
3. Certificate in Management and Accounting
Nimesomea computer applications pia nina ujuzi pia wa SPSS kidogo

Nimefanya field ofisi mbali mbali nikiwa kama ASSISTANT ACCOUNTANT

Naomba msaada wenu please
Umemaliza mwaka gani hapo Ushirika, kwa sasa swala la ajira linachangamoto sanaa nakushauri uombe kujitolea kwenye taasisi mbali mbali za kifedha, NGOs. Taasisi na mabenki kwa sasa hupenda kutangaza kazi za Sales na kupitia hizo kazi ndio wanaajiri watu hivyo ukiona kazi za sales pia omba
 
Ushauri mzuri sana huu ..

Maana naona "please", " please" naomba kazi nyingi..

Anaonekana yuko weak'
 
Sina Job ya Kukupa kama jinsi ombi lako ulivyoliwasilisha ila nina ka ushauri kadogo juu ya namna unavyotakiwa kuomba kazi.

Umesema umeshawahi kufanya kazi ofisi mbalimbali, Wow! Hongera! Maana kuna graduates wengi wako na zero experience at least hata ww una cha kujidai.

Anyway, let me get straight to the point. Fanya yafuatayo yatakurahisishia au yatakuweka mahali pazuri zaidi kwenye kutafuta Ajira, right? Just try these tips, you never know : )

>> Usipende sana kutanguliza elimu uliyonayo unless unaomba kazi serikalini. Humu jamvini au kwenye platform zingine tanguliza work experience yako kwanza!

Unajua nikisema work experience namaanisha nini? (Let me guess what you think, unadhani ni kazi zote ambazo umeshawahi kufanya toka uanze chuo.. is that what you're thinking? If yes, you are Wrong!)

Work Experience inatakiwa iwe na uwiano. Hujaelewa tena, okay, let me explain;
Hakunaga "KAZI YOYOTE" so better be specific, ngoja nikusaidie kwa mifano.

Imagine kuna watu wawili wenye shahada ya Computer Science. Wote wanatafuta kazi. Mmoja ameweka heading kwenye CV yake kuwa yeye ni Programmer mwenye uzoefu wa kutumia Python, PHP na Javascript. Pia akaorodhesha na projects ambazo ameshafanya so far, plus softwares na platforms ambazo ana uzoefu nazo.

Mwingine akaweka heading ya IT au Computer Scientist na kwamba ameshafanya kazi sehemu nyingi kama unavyosema ww hapo juu. Mfano alishakua IT Officer au Teacher wa Computer mahali.

Who do you think itakua rahisi to attract hiring managers? Actually ni the first one. Unajua kwanini? Yuko very Specific. It might take some times, yes, lakini CV yake ni rahisi sana kubebwa ikitokea related vacancy!

So my Brother, epuka general terms like "Kazi Yoyote" when looking for a job. I would not hire any applicants who put his advert like that. So change it. Put something like you are a professional "Accountant" na umeshafanya kazi na software zipi so far... kama ni sage pastel, palladium enterprises, tally au unajua VBA n.k

Then kwenye work experience yako weka zile experience zinahusiana na accounting tu! Sio uweke tena umeshawahi kufanya kazi ya receptionist mahali, au umeshaenda pia JKT, maana hazitakusaidia kitu, sana sana zitamchosha afisa mwajiri kusoma.

Another one, Skills!!!!! Dont just mention uko na good communication skills, au uko analytical or kujiita problem solver. Prepare stories to backup your skills, Man! Wewe ni problem solver kwa matatizo gani ambayo umeshasolve? Analytical how? Unasema uko na positive attitude, okay, what made you think uko na positive attitude? You need stories! Ni muhimu kuwa na real world scenarios zinazo.reveals your personal skills na sio maneno maneno tu.

Kitu Kingine. Think in terms of what can you do for the company? Ukiwa unapeleka bahasha yako au unaandika barua ya kuomba job mahali, show them they need you and not that you need them!

Sijui kama unanielewa vizuri.. anyway, ngoja nikueleweshe. Unatakiwa ujue kampuni/shirika linafanyaje kazi na uwezo wako wewe utawasaidia vipi wao to grow.

La Mwisho, Umeshawahi kujiuliza kwanini unatafuta kazi? Is it because of Money, Passion, Status or Career Growth?

Kama unatafuta kazi kwa sababu ya Career Growth au Passion basi sio lazima uanze na kazi ya kulipwa mshahara. Unaweza ukajitolea tu mahali (Internship) hata kama hakuna food & transport allowance. But unajua siri ya Internship ni nini? Work Smarter and Harder kuliko walioajiriwa. Weka malengo ya kuacha impressions kila siku unayoondoka kwenye office zao. Kumbuka hata kupata Internship sasa hivi sio kazi rahisi, so ukipata usiangalie mtu usoni piga kazi, jifunze vitu kwa kasi sana, you never know, mwisho wa siku hakuna Boss aliye tayari kumpoteza mtu mwenye potential kubwa kwenye kampuni yake. But first, you need to show your potential. Sasa ndugu yangu, kama una katabia ka kuiga maisha ya watu, umepewa ka nafasi ka kujitolea lakini unafanya kazi kwa ku relax kama umeajiriwa jiandae kwenda na maji!

Kama unatafuta kazi kwa ajili ya Status au Money tu. Then, Don't waste much time there kama mambo hayaendi... Jaribu pia mishe zingine zinazoweza kukuingizia hela na usione aibu kuchekwa, kufeli au kufulia. Najua this is the hard way lakini worryout, by the yard it's hard; but inch by inch, anything's a cinch!

Nimeona umeandika kuwa unakaribia kukata tamaa. Ndugu, Siri kuu ya Mafanikio Duniani huwa ni Moja tu, DON'T EVER GIVE UP, EVER.

All the Best.
#LaskaBoza
Maarifa muhimu sana haya kiasi kwamba yalistahili kuwa topic inayojitegemea ili wengi wayapate.

Vitu vidogo dogo kama hivi ndio vinavyofanya Wahindi na wakenya wakaonekana wanaajiriwa kwenye makampuni zaidi ya Watanzania, Maarifa na taarifa ya jambo lolote ndio siri ya mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is so cool. Binafsi naomba unisaidie samples za CV inbox if you won't mind.
Thanks in advance
 
Sina Job ya Kukupa kama jinsi ombi lako ulivyoliwasilisha ila nina ka ushauri kadogo juu ya namna unavyotakiwa kuomba kazi.

Umesema umeshawahi kufanya kazi ofisi mbalimbali, Wow! Hongera! Maana kuna graduates wengi wako na zero experience at least hata ww una cha kujidai.

Anyway, let me get straight to the point. Fanya yafuatayo yatakurahisishia au yatakuweka mahali pazuri zaidi kwenye kutafuta Ajira, right? Just try these tips, you never know : )

> Usipende sana kutanguliza elimu uliyonayo unless unaomba kazi serikalini. Humu jamvini au kwenye platform zingine tanguliza work experience yako kwanza!

Nice tips, buddy
 
Top
 
Hongera kwa kuelezea kinaganaga anachotakiwa kuzingatia.

Palikuwa na mtoa mada fulani. Alitoa fursa ya watu kwenda kujiunga kufanya kazi kwenye taasisi yake. Sharti moja: Uwaambie kwenda kwako kwao kutawasaidia nini wao... usipokuwapo weye, wao watakosa nini?
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nakuja mbele yenu ndugu zangu kuomba kazi/ajira kama nilivyoandika hapo juu.Naomba msaada wenu ndugu zangu.

Elimu yangu:-
1. Bachelor of Arts in Microfinance and Enterprise Development
2. Diploma in Cooperative Management and Accounting
3. Certificate in Management and Accounting
Nimesomea computer applications pia nina ujuzi pia wa SPSS kidogo

Nimefanya field ofisi mbali mbali nikiwa kama ASSISTANT ACCOUNTANT

Naomba msaada wenu please
piga hii no kwa kazi ya cashier...0782003685
 
Sina Job ya Kukupa kama jinsi ombi lako ulivyoliwasilisha ila nina ka ushauri kadogo juu ya namna unavyotakiwa kuomba kazi.

Umesema umeshawahi kufanya kazi ofisi mbalimbali, Wow! Hongera! Maana kuna graduates wengi wako na zero experience at least hata ww una cha kujidai.

Anyway, let me get straight to the point. Fanya yafuatayo yatakurahisishia au yatakuweka mahali pazuri zaidi kwenye kutafuta Ajira, right? Just try these tips, you never know : )

> Usipende sana kutanguliza elimu uliyonayo unless unaomba kazi serikalini. Humu jamvini au kwenye platform zingine tanguliza work experience yako kwanza!

Unajua nikisema work experience namaanisha nini? (Let me guess what you think, unadhani ni kazi zote ambazo umeshawahi kufanya toka uanze chuo.. is that what you're thinking? If yes, you are Wrong!)

Work Experience inatakiwa iwe na uwiano. Hujaelewa tena, okay, let me explain;
Hakunaga "KAZI YOYOTE" so better be specific, ngoja nikusaidie kwa mifano.

Imagine kuna watu wawili wenye shahada ya Computer Science. Wote wanatafuta kazi. Mmoja ameweka heading kwenye CV yake kuwa yeye ni Programmer mwenye uzoefu wa kutumia Python, PHP na Javascript. Pia akaorodhesha na projects ambazo ameshafanya so far, plus softwares na platforms ambazo ana uzoefu nazo.

Mwingine akaweka heading ya IT au Computer Scientist na kwamba ameshafanya kazi sehemu nyingi kama unavyosema ww hapo juu. Mfano alishakua IT Officer au Teacher wa Computer mahali.

Who do you think itakua rahisi to attract hiring managers? Actually ni the first one. Unajua kwanini? Yuko very Specific. It might take some times, yes, lakini CV yake ni rahisi sana kubebwa ikitokea related vacancy!

So my Brother, epuka general terms like "Kazi Yoyote" when looking for a job. I would not hire any applicants who put his advert like that. So change it. Put something like you are a professional "Accountant" na umeshafanya kazi na software zipi so far... kama ni sage pastel, palladium enterprises, tally au unajua VBA n.k

Then kwenye work experience yako weka zile experience zinahusiana na accounting tu! Sio uweke tena umeshawahi kufanya kazi ya receptionist mahali, au umeshaenda pia JKT, maana hazitakusaidia kitu, sana sana zitamchosha afisa mwajiri kusoma.

Another one, Skills!!!!! Dont just mention uko na good communication skills, au uko analytical or kujiita problem solver. Prepare stories to backup your skills, Man! Wewe ni problem solver kwa matatizo gani ambayo umeshasolve? Analytical how? Unasema uko na positive attitude, okay, what made you think uko na positive attitude? You need stories! Ni muhimu kuwa na real world scenarios zinazo.reveals your personal skills na sio maneno maneno tu.

Kitu Kingine. Think in terms of what can you do for the company? Ukiwa unapeleka bahasha yako au unaandika barua ya kuomba job mahali, show them they need you and not that you need them!

Sijui kama unanielewa vizuri.. anyway, ngoja nikueleweshe. Unatakiwa ujue kampuni/shirika linafanyaje kazi na uwezo wako wewe utawasaidia vipi wao to grow.

La Mwisho, Umeshawahi kujiuliza kwanini unatafuta kazi? Is it because of Money, Passion, Status or Career Growth?

Kama unatafuta kazi kwa sababu ya Career Growth au Passion basi sio lazima uanze na kazi ya kulipwa mshahara. Unaweza ukajitolea tu mahali (Internship) hata kama hakuna food & transport allowance. But unajua siri ya Internship ni nini? Work Smarter and Harder kuliko walioajiriwa. Weka malengo ya kuacha impressions kila siku unayoondoka kwenye office zao. Kumbuka hata kupata Internship sasa hivi sio kazi rahisi, so ukipata usiangalie mtu usoni piga kazi, jifunze vitu kwa kasi sana, you never know, mwisho wa siku hakuna Boss aliye tayari kumpoteza mtu mwenye potential kubwa kwenye kampuni yake. But first, you need to show your potential. Sasa ndugu yangu, kama una katabia ka kuiga maisha ya watu, umepewa ka nafasi ka kujitolea lakini unafanya kazi kwa ku relax kama umeajiriwa jiandae kwenda na maji!

Kama unatafuta kazi kwa ajili ya Status au Money tu. Then, Don't waste much time there kama mambo hayaendi... Jaribu pia mishe zingine zinazoweza kukuingizia hela na usione aibu kuchekwa, kufeli au kufulia. Najua this is the hard way lakini worryout, by the yard it's hard; but inch by inch, anything's a cinch!

Nimeona umeandika kuwa unakaribia kukata tamaa. Ndugu, Siri kuu ya Mafanikio Duniani huwa ni Moja tu, DON'T EVER GIVE UP, EVER.

All the Best.
#laskaboza
Umetema nondo sana mkuu. I salute you .
 
Hii yenyewe hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom