Recent content by JAMALDIN HAJI

  1. J

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Nitapambana na Abood

    jamani siyo kila mwana cdm anafaa kuwa mbunge.haya kashasema rasta zake hazinyoi.rasta chafu ataingianazo vilevile?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Campas ya Mbeya New Maisha Club chuoni ya nn???

    uwwiiii duh,yataka imani.natakiwa kuziba masikio jaman liz wangu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mzumbe Campas ya Mbeya New Maisha Club chuoni ya nn???

    Waniliza mkuu mchumba yupo mwaka wakwanza hapo siwanamla sana
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ruvuma kimenuka

    Kitambi heshima=nikweli huyu mbogoro hafai,ila nasikia mbowe ndio anamtaka mbogoro.lakini sisi wenyewe hatumtaki huyu bata hauziki
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chadema=tusiangalie nani kasema,tuwe wakweli kwenye hili

    hawa nihusu hao
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chadema=tusiangalie nani kasema,tuwe wakweli kwenye hili

    mkuu nihuyuhuyu zito ndio alikuwa nguzo ya ushindi wadiwani wetu majengo songea.leo mijitu inaambiwa ukweli.inachukia
  7. J

    JamiiForums Tanzania Chadema=tusiangalie nani kasema,tuwe wakweli kwenye hili

    kamuulize mbogoro.kazowea kupewa pesa na nchimbi.nashangaa hafukuzwi nae
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chadema=tusiangalie nani kasema,tuwe wakweli kwenye hili

    wewe acha upuuzi nani gamba.mimi ninakovu kwenye mwiliwangu kwaajili ya cdm.ebooo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chadema=tusiangalie nani kasema,tuwe wakweli kwenye hili

    tunachangia pesa zetu kwenye harambe za chadema.kwanini zisituume?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chadema=tusiangalie nani kasema,tuwe wakweli kwenye hili

    tunachangia pesa zetu kwenye harambe za chadema.kwanini zisitume?
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA vyuo vikuu walaani Zitto kuvuliwa uongozi, wakemea ubabe

    kweli kabisa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    sina kadi cdm wala ccm.nasiziitaji kwasiasa tunazofanya vijana sasa.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    hata siku zile tuliambiwa tusichague chama tuchague mtu.tukawachagua watu hatukuchagua ccm.leo mnataka tukipende chama.natusipende mtu. Tutakuwa na zito daima na milele
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    nyie hamkuwaita wandishi wa habari?nyani aoni kundure
  15. J

    JamiiForums Tanzania Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    ila kuiba wake za watu ndio heshima?acha umburula binti
Back
Top Bottom