Walishamkata sasa kama na yeye lowassa alikuwa ana ndoto ya kuwa Rais..basi atakuwa maana Kaja Ukawa na kwa sasahakuna namna nyingine Ni lowassa tu ndie atakaye tuvusha katika Lindi la ujinga huu ulioachwa na chama cha kishenziiiiiiii ccm..
Pili raia wapo wengi kuliko polisi, wataua wangapi...
Hana muda wakujibu hoja chafu na siasa nyepesi, ni kutangaza ilani tu kwa kwenda mbele, Kama hawasikii vile kumbe anawaona hawana busara..Tunamjua ndie atapata kura zetu kwa kishindo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.