Recent content by jamal omary

  1. J

    JamiiForums Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    asante sana kaka, maneno mazuri
  2. J

    JamiiForums Umilikaji ardhi kiolela

    Kuna mambo mengine yanatia hasira sana,jamaan eeeh! huku maeneo ya kwetu ninapo ishi kuna watu wanaojiita wajumbe na madalali hapo hawali ardhi ilikuwa imepimwa na watu wakawa wamemilikikishwa na hatimiliki wanazo ila kwakuwa palikuwa pori watu waliokuwa wameliki ardhi wakawa wanasubiri mpaka...
  3. J

    JamiiForums Open University ndio Vyuo gani?

    wakuu mimi nashida ya kufahamu kuhusiana na open university ndiyo vyuo gani hivyo?
  4. J

    JamiiForums Oh! Picha Ya Aibu Hii... Hivi Watanzania Tunapenda ' Vurugu Mechi!' ?

    ndiyo tanzania yetu hiyo tutafanyaje manake kila mfanya jambo yuwajiona yuko sahihi
Back
Top Bottom