Tutasikia mengi mwaka huu bado mchakato unaendelea Zanzibar na Tanganyika mwisho wa siku lazima zipatikane ndio hoja ya msingi nyinyi wanasiasa endeleeni kutoa aibu zenu sisi Wananchi tuzipime kwenye sanduku la kura.
Miaka 20 ya ufanisi tunajivunia kuwa na radio one na ITV mungu awabariki sana kwenye kazi zenu.Ukawa tupo pamoja musijali hizi ni zama za mwisho za Maintarahamwe.
Habari zenu wanajamii,
Huyu kijana wa kuitwa Allan lucky alikuwa anafanya kazi EATV lakini kwa sasa jamaa kavuka boda anafanya kazi Kenya.
Kuna hichi kipindi cha Skonga EATV yeye ndiye alikuwa mpango mzima. Lakini toka jamaa asepa zake na hichi kipindi chake naona kimesepa siku hizi hakina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.