ok wasikuzungushe nenda wiles/network >mobiledata>accenspoint>alaf jaz kwen name andik internet alaf kweny apn pia andika internet iwelain yoyote ya Tanzania yani Togo.zantel.airtel.Vodacom. lazim ifanye kaz km mna bisha kwahili na tak m2 tu bishane hapa
100% work. jk.term
analotak galaxy s4 jani ipoooooooooo namba zangu 0774268672 napatikana zanzibar sion iyo2 kwa sim yoyote naoza kwabei rais te atopata used utapata mpya kak nip kwanin yenu. jk term
amnakipingamizi apo ila njia rahis reboot cm yk apo kwa hapo bila kwenda kweny pc au kutumia first boot umenipat mfano km samsung s1 unaizim kosha unawasha kwa chakuwash na chakupandish sauti na kilechakat chini pale kweny kiyoo alaf itawak lakin kivyengine alaf utafutaneno farst boot uabiny ila...
amnakipingamizi apo ila njia rahis reboot cm yk apo kwa hapo bila kwenda kweny pc au kutumia first boot umenipat mfano km samsung s1 unaizim kosha unawasha kwa chakuwash na chakupandish sauti na kilechakat chini pale kweny kiyoo alaf itawak lakin kivyengine alaf utafuta neno farst boot uabiny...
ww acha kumzungush mwenzio nenda kweny pc yk au laptop ikisha ingia kingoroot.com alaf utaidonload iyo kingooroot kupitia tovoti iyo apo juu alaf utafata maelekez jinsi inavyo tumiwa ni very simpo alaf download unstall app proo kweny play store yk ila ina uzwa utajua jinsi y kupata iyo app...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.