Recent content by Jamal H

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

    Usisahau kujichungulia nyuma kwako kumepita mikono 2 wakat tofaut Ni ngumu kunielewa namaanisha ivi Umetawazwa na wala urojo waka malizia wa Kenya so fainal ile ilikua ya wakubwa zako ulipaswa kunyamaza But im so sorry
  2. J

    JamiiForums Tanzania Semi Final 2, CECAFA: Zanzibar Heroes yaifunga Uganda goli 2 - 1! Sasa kukutana na Kenya katika mchezo wa fainali

    Na Uganda ndo the first one kwa east afrika na zaid ni bingwa mtetezi wa hili kombe lakini wame poteza nafasi. Ktk mpira lolote linaweza kutokezea regardless unacheza na nani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwambusi: Timu ya Taifa si sehemu ya kujifunzia ukocha

    Muheshimiwa umeeleza vyema ila umeshindwa kutofautisha kati ya timu ya kilimanjar star na timu ya taifa kili star sio timu ya ni timu ya Tanganyika na sio ya taifa la Tanzania ichi ndicho kinacho wa cost sku zote
  4. J

    JamiiForums Tanzania Figisu Figisu CECAFA: Zanzibar Heroes wahofiwa kutumia madawa ya kusisimua misuli!

    Lilopo lazima liongelewe kwa sasa adui mkubwa wa zanzibar kimaendeleo ni Tanganyika ktk nyanja tofauti michezo mnaweka mguu mafuta mumeweka mguu mambo ya nje ndio kabsa Kama wanzanzibar nilazima tuyaongelee na hautozima et kwa kusema ni damu moja hoja ya kua dam moja haizuii kudai tunacho kihitaj
  5. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kucheza na Uganda nusu fainali

    Hatuna wasi wasi na zanzibar heroes juu ya Uganda naamini tunawapiga japo kwa matuta
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar heroes yawa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya CECAFA baada kutoka suluhu na Kenya

    Nime kubaliana na ww mkuu tanganyika zao no fitina tu na chuki litopenda kuona wengine wakiendelea
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vipaji vilivyopo Zanzibar

    Sisi tumeshaanzisha mchakato mapema tu ya kuondoka ktk huu muungano kuonyesha hatufurahiii lakin kitu icho hatujawahi kukiona kutokea tanganyika
Back
Top Bottom