Vipaji vilivyopo Zanzibar

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Kwanza football, basketball, cycling, mbio za miguu, michezo hii zanzibar ndio ipo kipao mbele kwa zanzibar.

Sababu ya vijana kupenda michezo, muda wa jioni wa wapumziko vijana wazee na watoto hupenda kwenda kwenye michezo badala ya kwenda baa na sehemu nyengine za starehe, imekuwa ni culture yetu wazanzibari toka utotoni kutumia muda mwingi kwenye michezo, ukienda hata asubuhi kwenye viwanja vya michezo utakuta watoto au vijana wanacheza football au basket ball.


Skool zetu ni vile vile michezo ipo kipao mbele Ingawa sasa hivi imepuuzwa, zamani michezo ya Skool ilikuwa kipao mbele, wanafunzi kutoka pemba kuja zanzibar week hadi 2 kwa michezo tu kutoka shule zote za pemba.

FURSA

Zanzibar imefanya kila jitihada kuomba u wanachama fifa na cap ili iweze kupiga hatua ya kimataifa, lakini kutokana na jirani zetu hawataki hilo tanganyika, kwa sababu suala la michezo sio la muungano Iweje kuwe na timu ya taifa? Lazima timu ya taifa ivunjwe ndio zanzibar ipate fursa yake ya kikatiba kimichezo kimataifa.
 
Tumekaona ka video kenu Wazenji mnavyotutukana machogo. Nawashauri muanzishe mchakato wa kujitoa kwenye muungano ili tupumue
 
Sisi tumeshaanzisha mchakato mapema tu ya kuondoka ktk huu muungano kuonyesha hatufurahiii lakin kitu icho hatujawahi kukiona kutokea tanganyika
 
Tumekaona ka video kenu Wazenji mnavyotutukana machogo. Nawashauri muanzishe mchakato wa kujitoa kwenye muungano ili tupumue
Muungano tunautaka wa equal, mkuu hizo video zisikuumize vichwa, sie hapa tushatukanwa sana, mpaka bungeni
 
Hawa wala urojo timu zao hizi Polisi sijui kmkm si huwa zinapigwa zaidi ya wiki kwenye michezo ya caf?? Kufanya vizuri kwenye bonanza la challenge imekuwa nongwa?
 
Sisi tumeshaanzisha mchakato mapema tu ya kuondoka ktk huu muungano kuonyesha hatufurahiii lakin kitu icho hatujawahi kukiona kutokea tanganyika
Ila Leo mumejaa kweli hapa Tanga kwenye malipwani Kila mtu amii
 
Back
Top Bottom