Daaaah!!!! Nilikuwa live na nilienjoy sana fainali Ujerumani walikuwa tayari wamesha shinda fainali tatu za huko miaka ya nyuma na hata game ilivyoanza walikuwa wanajiamini sana mpaka score board ikawa inasoma 2-2 baada ya hapo kilichofuata ni msiba wafilpino wale walifanya comeback ya hataree...
Sasa si bora uione kweli hii ni kazi hata nikiambiwa changia nachangia simulizi imekaa kimchongo mchongo mtu anakuambia ni true story😂😂😂 wakati huo mi mwenyewe msomaji naona haya ni mambo ya kubuni kabisaaaaaa
Asante sana Jack Daniel tumekuwa pamoja mwanzo mwisho wale wenzangu na mim wa episode mbiri wanataka michango wanalo la kujifunza kwenu watunzi nguli humu Jf
"I want to die judge" tumeisoma mwanzo mwisho humu humu Jf na bado isidingo ya "nilimdhani kahaba kumbe ni bikra" hatujaombwa chochote sembuse iwe hii wasakatonge😂😂😂😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.