Acha afanye kazi yake, hii inchi watu walijimilikisha. kuna tabaka la watu wanao hanya na kufanya kazi zenye adhari ya moja kwa moja kwa maisha ya watanzania lakini walidharaulika. Sasa ni wakati wa kuheshimiana.
ANAYE ONA OC HAITOSHI AKALIME MAHINDI NA NJEGELE.
Hakuna mapambano yasiyokuwa na vikwazo, hao waliojitokeza ni sehemu ya changamoto. Na hawatatumika kama kinga ya kuzuia haki ya walio wengi isionekane.
Naamini kutakuwa na mengi yatasikika, lakini bado uchaguzi haukuwa wa halali.
NADHANI ULIPASWA KUULIZA UMUHIMU WA KATIBA KABLA HUJATOA MAONI YAKO. KWANI INAONYESHA HUJUI UMUHIMU WA KATIBA. KATIBA NDIO INAHALALISHA SHERIA NYINGINE. HIZO SHERIA ULIZOZITAJA ZINAPATA UHALALI WAKE KUTOKA KWENYE KATIBA. HIVYO BASI, KAMA KATIBA NI MBOVU NA HIZO SHERIA ZITAKUWA MBOVU.
KUNA...
Ni maoni yangu tu.
Kuna jambo muhimu sana naliona katika utawala wa Rais Magufuli. Anatumia kigezo cha kuwatumikia wananchi ili kufanya ukandamizaji wa demokrasi hapa inchi. Amekuwa mtu wa kufumbia macho matendo ya ukiukwaji wa cheria na misingi ya demokrasia tangu aingie madarakani.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.