Ni maoni yangu tu.
Kuna jambo muhimu sana naliona katika utawala wa Rais Magufuli. Anatumia kigezo cha kuwatumikia wananchi ili kufanya ukandamizaji wa demokrasi hapa inchi. Amekuwa mtu wa kufumbia macho matendo ya ukiukwaji wa cheria na misingi ya demokrasia tangu aingie madarakani.
Rais Magufuli amewapa nafasi kubwa sana viongozi wa CCM na wale wa serikali yake wananotumia mgogo wa CCM kukandamiza upinzani hapa inchi.
Nachojaribu kukiweka hapa si kutotambua juhudi zake anazozifanya kukuza uchumi na amendeleo kwa taifa. Lakini mambo hayo hayatafanikiwa kama hakutakuwa na kufuatwa na kuzingatiwa kwa sheria na demokrasia iliyo huru. Anawafanya wanchi wasimwone mbaya wakati upande wa pili anawaua wale wanaowatetea siku zote pale CCM inaposhidwa kuwasikiliza.
Kuna wakati nawaza kuwa RAIS ANAFANYA MAMBO KWA PRESSURE KWASABABU ANAJUA WAPINZANI WALIMPA WAKATI MGUMU KWENYE UCHAGUZI.
Swala la Zanzibar limemishinda kwa kuchagua kushidwa, ameruhusu vifaru viende mtaani kuwatisha wanchi, AMEPELEKA VIFAA VYA KIJESHI MTAANI WAKATI POLISI WAMESHIDWA KUKABILIANA NA MAZOMBI.
Amehidwa kukaa na kujadiliana na waliosusia uchanguzi Zanzibar ni kwa namna gani watafikia muafaka. Uchaguzi wa umeya Dar bado wingu kubwa, leo mbunge kuitwa kwenye kamati ya maadili anakamatwa na polisi.
HAYA YOTE YANAFANYIKA KWA SABABU WANAJUA RAIS NAYE NDO AJENDA YAKE.
I HUMBLY SUBMIT