Recent content by jallaz

  1. J

    Utabiri wangu iwapo Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika

    Point moja nimekusoma mr Nkobe kwamba muungano wanajua viongozi wakuu tu but cc wananchi wala hatuna time na muungano!!!! Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  2. J

    Muungano: Kuna nini ndani ya Hotuba za Marehemu rais Abeid Aman Karume?

    Mi binafsi sioni maana ya muungano huu wa upande mmoja tena wa kulazimisha,tuachane na muungano huu fake! Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  3. J

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Mm nashindwa kufahamu ni kwa nn hawa jamaa wa colour green wanataka serikali 2 na c 3,ni faida gani wanaipata kutoka zannzibar? Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  4. J

    Jamani chonde chonde jambo hili litavunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Sawasawa tu kwani. Muungano unatusaidia nn? Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  5. J

    Muungano uliopo sasa sio ule tulioachiwa na waasisi wa Muungano

    Jaji jana ametoa majibu ya kwa nn serikali tatu! Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  6. J

    Agness Masogange(Msambinungwa) Aonyesha tatoo zake za mwili

    Labda jamaa hajui tofauti ya hina +pico na tattoo Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  7. J

    Siri ya serikali 2: kwanini haziepukiki

    Rafiki zangu wa Zanzibar ambao majina yao nayahifadhi wote hawautaki muungano sababu ni kwamba cc Tanganyika tunawanyonya sana na wanataka kutambulika ktk dunia kuwa Zanzibar ni nchi. Jamani tuachane nao hawa kwani wanasaiia nn labda ccm watueleze Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  8. J

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Simiyu yetu mbonna yupo kimya? Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  9. J

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Mimi niite Mtanganyika coz muungano upo rehani mpaka sasa bado haujapitishwa mpaka katiba mpya ipatikane! Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  10. J

    Clouds fm vs ushoga

    Clouds fm walikuwa wanatoa hali inavyoendelea ktk street kwamba watu hao wapo sana na wanajulikana Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  11. J

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Hapana chezea lissu ni professional wa ukweli Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  12. J

    Video; ushahidi namna ccm wanavyopanga kujeruhi, kutesa, kuteka na kuua-uchaguzi kalenga

    Sasa mbona unatuzuga? Video iko wapi? Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  13. J

    Pigo la Pili kwa Lowassa, bado la Tatu na la Mwisho!

    Kama six kapata bac itakuwa poa sana coz yy hana upendeleo kabisa na ndio siasa inavyotaka hivyo Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
  14. J

    Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

    Mimi kila siku huwa najiuliza umuhimu wa MUUNGANO huu ambao upande mmoja unalazimisha uwepo na upande mmoja hautaki uwepo.Sasa cha kujiuliza ni kwa nn kikundi kimoja cha siasa cha upande wa bara kinalazimisha kuwepo kwa muungano huu? Watueleze wanapata maslahi gani ktk muungano huu wa...
  15. J

    Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

    Hongera sana Dina Marios kwa kujifungua salama!!! Sent from my BlackBerry 9700 using Jamie
Back
Top Bottom