kwanza na hamu ya kula imeniisha baada ya nchimbi kuhusisha wakristo{coz jina alilolitaja tena mmoja kamtaja katika waliowakamata} ndio waliorusha bomu kutoka kumuendesha mlipuaji hadi kufanywa mrushaji, wakristo tusipumbazwe na propaganda za ccm tuchukue hatua
but uyu ni dereva aliyemleta mlipuaji vp igeuzwe yeye ndio aliyelipua mungu yupo katika hili safari sii hapa duniani itafahamika ila chadema wawe makini kuna kila dalili ya ccm kuhusika na hili jambo kulitengeneza
kwa hotuba ya waziri wa mambo ya ndani mh Dr nchimbi ukiisikiliza kwa makini na watuhumiwa kukamatwa zaidi ya mmoja lakini kutajwa mmoja kwa tena kwa kuwa ana jina la kikristo kuna kitu kimetengenezwa na kinaendelea kutengenezwa chadema wawe makini au wajiandae hii game walikuwa wanaundiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.