Bomu Arusha: Mbunge Lema anatafuta ushahidi wa UDINI?

Bomu Arusha: Mbunge Lema anatafuta ushahidi wa UDINI?

Status
Not open for further replies.

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,633
Reaction score
5,612
Naamini mnakumbuka kuwa Mbunge wa Arusha mjini, ametakiwa apeleke ushahidi bungeni wa kuthibitisha UDINI wa JIK aun serikali ya JK.
Mara baada ya tukio la Arusha mbunge huyu kajitokeza 'fasta' kuonyesha kwamba lile tukio ni muendelezo wa kile anchoita 'UDINI' wa serikali ya JK!
UDINI wa Lema ni Uislam dhidi ya UKRISTO na si kinyume chake! Ndio maana wakaanzisha theory ' ya mtoto kumuona mtu akiwa na kanzu na koti" as if sehemu hiyo haikuwa na watun wazima wenye akili!

Wafuasi wao hapa JF, wanashadidia hii issue ile mbaya! But what is the motive? Ni kweli CDM itaingia madarakani kwa stahili hii ya kuwa 'partisan' kuegemea upande mmoja?

Au ndo Mheshimiwa mbunge anataka kulitumia tukio hili kama ushahidi wake?
Tafakari na chukua hatua!
 
Kwa hiyo unataka kusema Lema ndie amerusha lile bomu kukamilisha ushaidi wake.?
 
Wafuasi wao hapa JF, wanashadidia hii issue ile mbaya! But what is the motive? Ni kweli CDM itaingia madarakani kwa stahili hii ya kuwa 'partisan' kuegemea upande mmoja?

Au ndo Mheshimiwa mbunge anataka kulitumia tukio hili kama ushahidi wake?
Tafakari na chukua hatua!

Nimejaribu kutafakari na ninachukua hatua ifuatayo.

Jina lako haliendani na ulichoandika (TRUTH MATTERS)

Weka ushahidi kwa kila usemacho na siyo maneno matupu, na uthibitishe kuhusisha CDM katika mtafaruku huu wa milipuko nchini, kisha nitakuelewa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Naamini mnakumbuka kuwa Mbunge wa Arusha mjini, ametakiwa apeleke ushahidi bungeni wa kuthibitisha UDINI wa JIK aun serikali ya JK.
Mara baada ya tukio la Arusha mbunge huyu kajitokeza 'fasta' kuonyesha kwamba lile tukio ni muendelezo wa kile anchoita 'UDINI' wa serikali ya JK!
UDINI wa Lema ni Uislam dhidi ya UKRISTO na si kinyume chake! Ndio maana wakaanzisha theory ' ya mtoto kumuona mtu akiwa na kanzu na koti" as if sehemu hiyo haikuwa na watun wazima wenye akili!

Wafuasi wao hapa JF, wanashadidia hii issue ile mbaya! But what is the motive? Ni kweli CDM itaingia madarakani kwa stahili hii ya kuwa 'partisan' kuegemea upande mmoja?

Au ndo Mheshimiwa mbunge anataka kulitumia tukio hili kama ushahidi wake?
Tafakari na chukua hatua!

use your head to think
 
Je kunavita au uhasama kati ya Wakristu na Waislamu Tanzania?
Jibu niHAPANA.
Sasa tatizo ni nini?
Wachochezi wa mambo haya hawajachukuliwa hatua mapema. Nadhani hapo ndipo lawama zinapowaangukia wanasiasa.

Kunavikundi vidogo vya wakristu na waislamu ndio wanaofanya vitendo hivi vyakighaidi kwa watu wa imani yao ambao hawakubaliani na msimamo wao na kwa watuwa imani tofauti kwasababu lengo lao ni kueneza itikadi zao zenye msimamomkali.
Sehemukubwa ya Waislamu na Wakristu hawana tatizo na wenzao wa imani tofauti nawanataka kuona amani ikiendelezwa na kila mtu akiishi kwa upendo kamatulivyokuwa miaka michache hap nyuma.
Moja yamalengo ya makundi yaya ya uchochezi ni kuleta taswira kana kwamba Waislamu nawakristu hawaelewani, kwahiyo wakristu na waislamu waanze kupigana nao wawezekukamilisha malengo yao.
Kamanilivyosema awali makundi haya sio kwamba tu yanadhuru watu wa imani tofauti,makundi haya yanadhuru hata watu waliokuwemo ndani ya imani moja mradi tu,hawakubaliani na wanayotaka kufanya. Utakumbuka Shehe mkuu wa Zanzibaralimwagiwa tindikali akiwa anafanya mazoezi na makundi haya haya.
Nikiwa kamaMtanzania ambaye nina ndugu zangu Waislamu wengi, nina ndugu zangu Wakristuwengi, mashemeji zangu, marafiki, wakwe, watoto , wajomba, ambao tumekuwatukiishi kwa kupendana na kueshimiana imani zetu kwa miaka mingi nakataa na kupingakabisa uchafu huu ulioanza kujitokeza sasahivi.
Kutoahotuba pekeyake hakutasaidia kuondoa tatizo hili. Jeshi la polisi linatakiwakuwachukulia hatua wato wote wanaohusika na uchochezi wa namna hii bilakumuogopa mtu yeyote. Jeshi la polisi liwakamate na kuwashitaki wale wotewanaofanya uchochezi huu wa kighaidi kwasababu kuna ushahidi mwingi wa mediaunaopatikana madukani, na kwenye mitandao mpaka picha za video nyingi zenyeuchochezi wa namna hii.
Serekaliisimamie uchanganyaji wa dini na siasa. Tatizo hili lilianzia Zanzibar kwakudai hawataki muungano kasha wanachoma makanisa kanakwamba kanisa ndiololililoleta muungano. Mashekhe na Wachungaji wasiruhusiwe kujiusisha na mambo yakisiasa kwa wakati mmoja. Kama mtu anataka kuingia kwenye siasa anaacha moja.Kwasababu wanatumia advantage ya kuwaongoza watu kiroho, kufanikisha malengoyao ya kisiasa. Jambo hili lilisimamiwa vizuri huko nyuma na hatukuwa namatatizo haya. Sasahivi viongozi wa kidini wanaachiwa wanahubiri siasa namatokeo yake ndio hayo yanaanza kujitokeza.
 
Naamini mnakumbuka kuwa Mbunge wa Arusha mjini, ametakiwa apeleke ushahidi bungeni wa kuthibitisha UDINI wa JIK aun serikali ya JK.
Mara baada ya tukio la Arusha mbunge huyu kajitokeza 'fasta' kuonyesha kwamba lile tukio ni muendelezo wa kile anchoita 'UDINI' wa serikali ya JK!
UDINI wa Lema ni Uislam dhidi ya UKRISTO na si kinyume chake! Ndio maana wakaanzisha theory ' ya mtoto kumuona mtu akiwa na kanzu na koti" as if sehemu hiyo haikuwa na watun wazima wenye akili!

Wafuasi wao hapa JF, wanashadidia hii issue ile mbaya! But what is the motive? Ni kweli CDM itaingia madarakani kwa stahili hii ya kuwa 'partisan' kuegemea upande mmoja?

Au ndo Mheshimiwa mbunge anataka kulitumia tukio hili kama ushahidi wake?
Tafakari na chukua hatua!
WAKATI UNAANDIKA CHA KUTETEMEKA NDUGU...!!!!Ipo kama unaogopa hizo batan..mbona haujamaliza unachotaka kusema??? Ulitakiwa utafakari wewe na utuambie ni hatua gani unachukua yakhee..Tumswalie mtumee!! Sio utuambie sisi tena dogo.!:lie:
 
Haya mambo hatuhitaji kuuma maneno Kuna upande ambao unasupport haya matukio waziwazi, hata kama sio wote kwa asilimia kubwa wanafurahia hali hii, Kuna njia nyingi za kuwasilisha grievances katika jamii iliyochanganyika kama Tanzania yetu na sio kuua , kuchoma moto, kulipua n.k , narudia tena hiyo sio njia sahihi hali ikishakua mbaya aliyemo na asiyekuwamo wote wataumia kwa maslahi ya wapumbavu wachache , kwani ukiua dunia nzima utapata faida gani wkt wote tunaamini mungu aliiumba dunia na kila kilichomo ndani yake hata makafiri na haramu vyote kaviumba hata shetani nae kaumbwa na mungu, malizeni kila kitu mumfurahishe muumbaji wenu kama kweli ndilo dhumuni la kuwaumba, ulizeni rwanda na Burundi
 
kwani hivi ameshatajwa mtu aliyehusika kwa jina, ama kikundi chochote...? au ndio mnaanza kutaja?😛anda:
 
kwa hotuba ya waziri wa mambo ya ndani mh Dr nchimbi ukiisikiliza kwa makini na watuhumiwa kukamatwa zaidi ya mmoja lakini kutajwa mmoja kwa tena kwa kuwa ana jina la kikristo kuna kitu kimetengenezwa na kinaendelea kutengenezwa chadema wawe makini au wajiandae hii game walikuwa wanaundiwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom