Ile Swali lako Ulilouliza Mzee JPM kuhusu kuvunja Katiba Mpaka leo halijawahi kupata jibu....Yale Maswali magumu kama ile la kwako Watawala huwa hawapendi kuulizwa especial Watawala wa kiafrika... Maswali kama ile la kwako huwa wanauliza waandishi wa habari kama CNN na BBC.....
Yale yalikuwa maamuzi ya Kisiasa ..... Umegundua kuwa na madaraka bila hela hayani maana heri kuwa na pesa usiwe na madaraka kuliko kuwa na madaraka bila pesa.... Na Kibaya zaidi ni kwamba madaraka bila maarifa ni unaishia kutumiq nguvu
Eti Tukio lenyewe kagundua mzungu.....wakati wabongo wapo wanatekeleza yale aliyesema Donald Trump kwa waafrika ,,, KKK..(kuiba,kula na kutomba)
Post sent using JamiiForums mobile app
Huko nyumba nilishawahi kuwaambia, malipo ya Dhambi zako yako hapa duniani....na lazima mungu atakuchapa ili wale uliowatendea mabaya wayaone na Sisi kazi yetu kukumbusha wengine wajifunze...star TV pamoja na radio zake walitumika sana sana kueneza chuki wakati wa campaign za mwaka juzi 2015...
Kwa vile umeamua kuwasaidia Watu kwa moyo.. na kwa vile yule doctor wa kibongo alikuwa anacheza na maisha ya mgonjwa wako... Ni vizuri ufanye editing ya hii taarifa ukaweka jina la huyo doctor na jina la hiyo dispensary uliyoenda I'li Watu wajue na wajifunze.... Otherwise taarifa yako imekuwa...
Nitatoa zawadi ya millions kumi cash 10,000,000.00 ya Tanzania kama kuna mtu atakaye nitajia mtoto viongozi Kuanzia mkuu wa mkoa mpaka Raisi wa nchi... Kama mtoto wao anasona kwenye hizo shule zinazoitwa za bure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.