Search results

  1. J

    Hatari ya kulizwa? Acacia waanza kufungasha kiana, wauza mgodi wake wa South Houndé nchini Burkina Faso

    Ile Swali lako Ulilouliza Mzee JPM kuhusu kuvunja Katiba Mpaka leo halijawahi kupata jibu....Yale Maswali magumu kama ile la kwako Watawala huwa hawapendi kuulizwa especial Watawala wa kiafrika... Maswali kama ile la kwako huwa wanauliza waandishi wa habari kama CNN na BBC.....
  2. J

    Hatari ya kulizwa? Acacia waanza kufungasha kiana, wauza mgodi wake wa South Houndé nchini Burkina Faso

    Yale yalikuwa maamuzi ya Kisiasa ..... Umegundua kuwa na madaraka bila hela hayani maana heri kuwa na pesa usiwe na madaraka kuliko kuwa na madaraka bila pesa.... Na Kibaya zaidi ni kwamba madaraka bila maarifa ni unaishia kutumiq nguvu
  3. J

    Serengeti, Tanzania: Simba apatikana akimnyonyesha mwana wa Chui

    Eti Tukio lenyewe kagundua mzungu.....wakati wabongo wapo wanatekeleza yale aliyesema Donald Trump kwa waafrika ,,, KKK..(kuiba,kula na kutomba) Post sent using JamiiForums mobile app
  4. J

    TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Huko nyumba nilishawahi kuwaambia, malipo ya Dhambi zako yako hapa duniani....na lazima mungu atakuchapa ili wale uliowatendea mabaya wayaone na Sisi kazi yetu kukumbusha wengine wajifunze...star TV pamoja na radio zake walitumika sana sana kueneza chuki wakati wa campaign za mwaka juzi 2015...
  5. J

    Napata shida na wanasiasa aina ya Tundu Lissu

    Wanasiasa wakuletee maendeleo... Wewe lala piga punyeto ukisubiri Watu wakuletee maendeleo...
  6. J

    Kama hakimu aliyekuhukumu amekutwa na vyeti fake, hukumu aliyotoa itakuwa null and void?

    Ikitokea umehukumiwa na Hakimu au Judge mwenye vyeti fake...HUKUMU itakawa NULL AND VOID... Maana aliyetoa huku hakustahili kusikiliza kesi??
  7. J

    Mrejesho; Matibabu India. Tumenusurika kutapeliwa

    Kwa vile umeamua kuwasaidia Watu kwa moyo.. na kwa vile yule doctor wa kibongo alikuwa anacheza na maisha ya mgonjwa wako... Ni vizuri ufanye editing ya hii taarifa ukaweka jina la huyo doctor na jina la hiyo dispensary uliyoenda I'li Watu wajue na wajifunze.... Otherwise taarifa yako imekuwa...
  8. J

    Upungufu wa sukari

    Mwaka jana wafanyabiashara wa sukari walikamatwa kwa kuambiwa walioficha sukari ... Sijui mwaka huu nao watakamatwa kwa kuficha Sukari??
  9. J

    Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    Waliochaguliwa Ubunge wa EALA kupitia Chadema.. 1. Mbwana Samatta 2.Juma kaseja
  10. J

    Kumbe uwaziri unanoga, Nape kielelezo

    Yeye kulala porini amesahau kuna Watu wamekufa kwa ajili ya hii nchi... Na wengine wamekuwa vilema..... Malipo ya Dhambi yako hapa hapa duniani
  11. J

    Rais Magufuli aamuru Madaktari walioomba kufanya kazi Kenya waajiriwe nchini mara moja

    Eti hela za kuwalipa Raisi mwenyewe ndio anayejua zitatoka wapi
  12. J

    Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

    Nitatoa zawadi ya millions kumi cash 10,000,000.00 ya Tanzania kama kuna mtu atakaye nitajia mtoto viongozi Kuanzia mkuu wa mkoa mpaka Raisi wa nchi... Kama mtoto wao anasona kwenye hizo shule zinazoitwa za bure...
  13. J

    Madawa ya Kulevya: Waziri wa Katiba na Sheria aomba Shikuba akashtakiwe Marekani!

    Waziri anaomba raia akasgitakiwe nchi nyingine... Haitakaa itokee duniani waziri wa marekani aombe raia wake ashtakiwe nchi nyingine
  14. J

    Hussein Bashe: Umasikini ndio hatari kwa usalama wa nchi, sio nyimbo za wasanii

    Yeye si mnec kwenye vikao vyao.. Kwanini walimwambia mwenyekiti wao.... Huu utekaji ni [emoji817] ccm.. Mazuri wanayataka mabaya hawayataki
  15. J

    Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Alisema JPM asichague waadhiri... Huku anagombea Ubunge EALA
  16. J

    Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Ndio maana nyerere alisema tusiwe na raisi anayeshauriwa na mke wake... Hii issue ya kitila ina maana yeye hawakuzungumza Kabla ya uteuzi....
  17. J

    Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    Kweli nimesikitika sana kusikia kwamba Ethiopia itawauzia Tanzania Umeme wa bei Raisi na Kutumia bandari ya Dar es salaam. Kwa wale ambao hawajui Ethiopia it's impossible kwa wafanyabiashara kuchukua mizigo yao kupitia kwetu sababu zikiwa ni Umbali pamoja na Usalama. Pia nimeshangazwa na...
  18. J

    Rais Magufuli amteua Charles Kichere kuwa Kamishina Mkuu TRA

    TRA kwa sasa na kwa kiwango kilichofikia ni kuweka mtu ambaye ni businesse mind... alikuja Dr.Mpango hakukaa.....akaja Kidata naye hakukaa... Hawa Watu sio wafanya biashara in nature.. Na ndio maana wanashindwa kuongeza mapato.... TRA bila Kuwa na Watu ambao biashara iko kwenye damu...
Back
Top Bottom