Recent content by jaju01

  1. jaju01

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Hahaha mwishoni naona kuna kibwagizo cha mama huyu na kipigo.... Kama taarifa ya habari ya azam na kibwagizo cha charles hillary..
  2. jaju01

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Angalau huyu katibu mkuu wa tucta dr msigwa anaongea kitu kina make sense... Yaan angalau narudia tena..
  3. jaju01

    Kilimanjaro Stars yadundwa 'Kiume' na Zanzibar heroes! Yapigwa 2 - 1

    Naona kilimanjaro wameamua kuunga mkono juhudi za mheshi... miwa wetu mtukufu..
  4. jaju01

    RC Morogoro, Dr. Steven Kebwe apata ajali usiku wa kuamkia leo

    Hahahaha...m daaah nimecheka sana kama mazuri vile yaani..
  5. jaju01

    Mwenyekiti BAVICHA Patrobass Katambi Naanza Kupoteza Imani Kwako!

    Long live jf kwa kweli..
  6. jaju01

    Watanzania tusipomuunga mkono Rais Magufuli tutakuja kulia kwa kusaga meno kama walibya

    Kwa mfano mimi mwanakijiji wa lundo huku nyasa kwetu naungaje mkono jitihada za mtukufu!? Nimpost wassapu au instagramuu!? Naombeni mniambie cha kufanya ili nionekane namuunga mkono maana kama sielewi hivi namna ya kumuunga mkono.. au niwaombe wanakijiji wenzangu tumtungie mapambio ya kumsifu!?
  7. jaju01

    Naomba kujua, ndege ya Rais iko wapi?

    Utaambiwa imepelekwa jeshini... ili usihoji tena.. ngoja wajuvi waje watakupa majibu safi kabisa.
  8. jaju01

    Mzimu ulionipa Barua niipeleke Ikulu kwa Rais, Mwaka 1917

    Samahani mkuu lakini naona kama umeenda nje ya topic kidogo... sidhani kama ishu ya katiba ya kenya inauhusiano na hii mada ya bwana nondo..
  9. jaju01

    Mjue joseverest

    Andika vizuri kwanza...unakimbilia wapi..
  10. jaju01

    Uhusiano wa Tanzania na Kenya mashakani baada ya Kenya kutaka kupiga mnada ng'ombe zaidi ya 4,000 kutoka Tanzania

    Sema mimi siwahitaji kwa sababu wapo wanaowahitaji..kuna watanzania wengi tu maisha yao wanayaendesha kwa kufanya biashara na kenya mkuu..tanzania sio kisiwa..
  11. jaju01

    Uhusiano wa Tanzania na Kenya mashakani baada ya Kenya kutaka kupiga mnada ng'ombe zaidi ya 4,000 kutoka Tanzania

    Kesi ya jamii forums na nyuzi zinazoanzishwa huku hazina mashiko yeyote... basi wafute tu mitandao yote ya kijamii kwa sababu habari hzi pia hupatikana huko..
  12. jaju01

    Hodi hodi

    Usipende kutembelea jukwaa la siasa si jema kwa afya ya akili yako..linahitaji kujitoa ufahamu kidogo
Back
Top Bottom