Recent content by Jahnson

  1. Jahnson

    JamiiForums Ni tukio gani lilikutokea ukikumbuka unacheka?

    Wakuu salaamu! katika maisha Kuna matukio yanatutokea uenda yakawa ya kuogofya, kuchekesha au ya majonzi. Ili tukio uwa nikikumbuka uwa nacheka lakini pia Kuna funzo ndani yake nilipata kupitia tukio hilo. Kuna ndugu tulipoteana kwa miaka kadhaa, miaka 9 iliyopita nikapata mawasilino yake...
  2. Jahnson

    JamiiForums Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Mkuu Kuna point umeongea ngoja nikipata wasaaa mzuri nipitie upya ulicho andika kwa utulivu.
  3. Jahnson

    JamiiForums Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    wakuu salamu! Usiku wa kuamkia leo Kuna ndoto nimeiota imeniacha na mshangao nisijue ujumbe uliopo ndani yake, hivyo basi kwa yule mjuzi anaweza Nipa maana/tafsiri kwa namna anavyofahamu ipo hivi. Ndotoni nilikuwa katika chumba Cha mtihani somo lilikuwa hesabu katika ndoto hii walikuwepo...
  4. Jahnson

    JamiiForums Kiwanda/viwanda vya uchapaji (printing solutions)

    Wakuu naomba kufahamishwa kwa wote wanaofahamu viwanda/kiwanda Cha uchapaji HASA vile vya offset printing Kama vile Jamana printers kwa Dar es salaam katika MIKOA ya Morogoro na mwanza kwa yeyote anayehamu uwepo wa viwanda ivyo naomba anifahamishe tafadhali
  5. Jahnson

    JamiiForums Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    It up mm a bc look forward for in im p
  6. Jahnson

    JamiiForums Naomba kuunganishwa kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika kiwanda cha uchapaji/printing solution

    Wakuu heshima kwenu wote mimi ni kijana niliyehitimu katika chuo cha ufundi VETA katika fani ya offset machine printing kama operator nilikuwa naomba kuunganishwa/ kufamishwa mahali napoweza kupata kazi kwa fani tajwa hapo juu. Binafsi bado sijafanikiwa mahali nilipo peleka maombi ila kupitia...
Back
Top Bottom