Naomba kuunganishwa kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika kiwanda cha uchapaji/printing solution

Jahnson

New Member
Oct 6, 2020
3
45
Wakuu heshima kwenu wote mimi ni kijana niliyehitimu katika chuo cha ufundi VETA katika fani ya offset machine printing kama operator nilikuwa naomba kuunganishwa/ kufamishwa mahali napoweza kupata kazi kwa fani tajwa hapo juu.

Binafsi bado sijafanikiwa mahali nilipo peleka maombi ila kupitia hapa natumaini kwamba msaada unaweza kupatikana na natanguliza shukrani kwenu wote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom