Haya ni mambo ya kawaida sana kwenye biashara hapa bongo,njia za ukwepaji kodi ni nyingi sana tofauti na hiyo .
.
.
Hivi ukilipa kodi halali ndo maisha yako na ya yule mwana wa nchi kule kijijini yanapata nafuu?
Kila mtu ni mkwepa kodi nchi hii,hata hao wanaokwambia kuwa wao ni wazalendo i.e...
C&P
.
.naona mnadanganyana sasa!
SIMU 2000 ilikuwa ni kampuni iliyokuwa inahodhi mali za serikali wakati wa ubinafsishaji awamu ya tatu ya ben mkapa, hii kampuni ilimaliza kazi zake mwishoni wa awamu ya tatu na kazi zake nafikiri siku hizi zinafanya na consolidate holding corporation wapo pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.