Chanjo zipo za pneumonia Kama vile pneumocacal conjugate vaccine (PCV) ,lakini Sasa changamoto visabishi vya pneumonia ni vingi kama ni sababu ni bakteria kama pneumocci atabenefi ,suala linakuja kama hio aspiration pneumonia utatoa chanjo?
Sababu ya haraka ya mtoto kilichomkuta yawezekana kiasi fulani Cha maziwa yaliingia katika njia ya hewa kitaalamu huitwa aspiration pneumonia .Na hatumae kupelekea kifo kutokana na ukosefu wa hewa ya oxyengene kwenye damu(hypoxemia) na kwenye chembe hai za mwili(hypoxia).Mara nyingi Moja...
Sababu ya haraka mtoto alipokuwa ananyonya maziwa yalienda njia ya hewa ,kitaalaumu inaitwa aspiration
Pneumonia.Kwa kawaida unaweza msaidia mgonjwa kama huyo kwa kuanza kuhakikisha njia ya hewa haina kizuizi(airway patency) kwa kuweka mpira kupitoa mdomo kwenye kwenye Koo la hewa...
Kitu Cha Kwanza inatakiwa ,upime kilo zako za uzito wa Sasa ,na urefu wako ,baada ya hapo ,zitatafutwa energy(nishati) inayotumika kufanya kazi katika mwili wako , kujua kiasi gani unaunguza ukiwa umetulia au katika stress,pia shughuli unazofanya kila siku ikiwemo Kama kuna aina ya mazoezi...
NJIA KUMI ZA KUZUIA MAGOJWA YASIYO AMBUKIZWA
Magonjwa yasiyambukizwa ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa.Mfano ni magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari,kuoza meno,magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari ,kuoza meno nakadhalika.
Zifuatazo ni njia za kupunguza magonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.