Maafisa TsD mungu azidi kuwamulika kwa uonevu wenu mnaondelea kuwafanyia walimu waliotoka masomoni ,.hamtaki kuwapandsha madaraja,kwa kigezo Cha cheo Cha muundo.
Nchi Ni ya wote hii, kwa hali hii mtakuja mashuleni kufundisha, ili muone stress za walimu.
Habari za muda huu ndugu zangu, nimepokea kwa masikitiko makubwa ujumbe kutoka kwa mwalimu alieenda kujiendelezA, na baada ya kurudi ametumikia miaka minne,.ila leo amenyimwa daraja (kupandshwa cheo) na wakati Ni haki yake.
Baada ya kuuliza kwa kina wamemjibu kuwa inabidi atumikie miaka mingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.