Maafisa TSD Same, mnachangia kukatisha tamaa walimu waliojindeleza kielimu

jade03

New Member
May 25, 2022
4
6
Habari za muda huu ndugu zangu, nimepokea kwa masikitiko makubwa ujumbe kutoka kwa mwalimu alieenda kujiendelezA, na baada ya kurudi ametumikia miaka minne,.ila leo amenyimwa daraja (kupandshwa cheo) na wakati Ni haki yake.

Baada ya kuuliza kwa kina wamemjibu kuwa inabidi atumikie miaka mingine minne ndo watampandisha..

Waliofanyiwa mchezo huo hayuko mmoja wapo zaidi ya walimu ishirini ,..na hakuna wa kuwatetea maskini ya mungu..wanalia na mungu wao tu..kwa uonevu ambao maafisa TSD ambayo kwa Sasa Ni TSC same...

Adui wa mwalimu Ni mwalimu mwenzie..

CWT mpo wapi,?..mnashindwa kuwatetea walimu..mnachojua nyie ni kukusanya michango tu ya walimu..ipo siku nyundo itawashukia wote mnaohusika kukandamiza walimu kwa namna moja ama nyingine..
 
Maafisa TsD mungu azidi kuwamulika kwa uonevu wenu mnaondelea kuwafanyia walimu waliotoka masomoni ,.hamtaki kuwapandsha madaraja,kwa kigezo Cha cheo Cha muundo.

Nchi Ni ya wote hii, kwa hali hii mtakuja mashuleni kufundisha, ili muone stress za walimu.
 
Ninyi walimu mpo dhaifu sana. Yani kila kitu ni kulialia tu.Wameshindwa nini kuwapa kelebu moja tu hao watu wa TSC ili wenge liwatoke na hivyo kuwapatia haki yenu?
 
Pole Sana mwalimu..endelea kupiga kazi malipo utayapata mbinguni
 
Kama miongozo inasema ni haki yao kwanini asiripoti kwa aliye juu ya maafisa wa TSC?
 
Habari za muda huu ndugu zangu, nimepokea kwa masikitiko makubwa ujumbe kutoka kwa mwalimu alieenda kujiendelezA, na baada ya kurudi ametumikia miaka minne,.ila leo amenyimwa daraja (kupandshwa cheo) na wakati Ni haki yake.

Baada ya kuuliza kwa kina wamemjibu kuwa inabidi atumikie miaka mingine minne ndo watampandisha..

Waliofanyiwa mchezo huo hayuko mmoja wapo zaidi ya walimu ishirini ,..na hakuna wa kuwatetea maskini ya mungu..wanalia na mungu wao tu..kwa uonevu ambao maafisa TSD ambayo kwa Sasa Ni TSC same...

Adui wa mwalimu Ni mwalimu mwenzie..

CWT mpo wapi,?..mnashindwa kuwatetea walimu..mnachojua nyie ni kukusanya michango tu ya walimu..ipo siku nyundo itawashukia wote mnaohusika kukandamiza walimu kwa namna moja ama nyingine..
Walimu mna akili za Bata kweli.

Walimu wa zamani tutawa miss sana.

Mijialimu ya sasa hivi, uwezo mdogo mdogo mrefu kupayukaaaaa MDOMO Kama BAVICHA na kujifanya mijuvi kwa kila kitu hata ambacho hayajui. Kila moja linajifanya harakati uchwara.

Na ndio maana hao TSD WAMEKAZA.

Hata ningekuwa Mimi ukija ukijifanya wewe unajua wakati hujui na miharakati yako uchwara. Ningekufanya Kama TSD.

Uhalisia, Ni kwamba Mtumishi anayepandisha daraja ni yule ambaye utendaji wake wa kazi huwa uko saw, na kwa mwongozo huo ndio maana huwa kila mtumishi anajaza OPRAS!!

Sasa wewe takataka, uliyeenda kujiendeleza, sema ulijaza vipi OPRAS ( mwenendo wa utendaji wako wa kazi ) wakati huo huo ukiwa masomoni?

Na ulivyo boya unaona kabisa Ni HAKI YAKO.

Of course, Kwa Nia njema Maafisa Utumishi na TSR huwa wanasaidia tu I'll kumwokoa mtumishi ( kwa Nia njema tu ).

Wanaweza kumpandisha daraja mtumishi hata Kama Yuko masomoni, lakini mwongozo hauko hivyo. Hiyo huwa Ni roho tu ya njema.

Punguza utaahira wa kulazimisha vitu ambavyo sio haki yako na hujui vinapatiknaje. Punguza ujuzi Koko wa kifala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom