Aaache ujuha wake. Ana matatizo ya kichwa nini. Yeye na mtindio wake wa ubongo asituzingue. Yanga na Simba wametoka mbali utani wa jadi umeanza hata babaake hajazaliwa leo aisambaratishe Yanga kwa upuuzi waje. Acha hizo dogo.
Raos anafanya vizuri kubuni miradi lkn aachie wataalam waipembue na wizara husika iipangie mipango pamoja na budget. Vinginevyo anawaumiza wstumishi kwa manufaa ya umma badala ya rasimali za umma zilete manufaa ya umma.
Mh sana J Ndygai hongera kwa sana Mungu akuzidishie hekima ili uzidi kuliongoza bunge. Wabane mawaziri wababaishaji ili waache kutetea uozo unaoumiza wananchi. Udumu Job wa Kongwa. Kongea hoyeeeee!!!
Jamani Tz ni yetu. Watoto wa matajiri au maskini kwa jinsi inavyotafsiriwa wote ni sawa. Ninashangaa maanza kuwajengea tabaka. Mtu anaweza kusomesha mtoto ps hata kwa kupika vitumbua au kuuza vipande vya kuni maadam analenga jambo fulani hivyo kuweka vigezo vya kusoma ps ni utajiri sio kweli...
Sidhani kama maskini anachangia kodi moja kwa moja kama matajiri wansolipa kodi kila kukicha. Iweje leo waseme hela za mikopo ya elimu ya juu ni kodi za maskini. Hey hii sasa ni habari mpya. Tangu lini kuki akatoa maziwa halafu akamgomea ng'ombe kuyanywa eti ni michango ya kuku. Hio ni ndoto ya...
Hakuna sehemu kwenye msaafu kulikoandikwa Mungu alotengeneza dhambi. Sijui labda mie si msomaji sana wa vitabu vya dini wataalam watusaidie juu ya hilo japo kubishana juu ya ukuu wa Mingu si vyema.
Hata bima nayo tatizo. Unajiunga kwa kubembelezwa bima ikiiva hupati hela. Mizunguko yake haina mwisho kama roundabout ya barabara. Hiiii nchi ya maziwa na asali. Ni hatareeeee na ngumu kumeza. Hongra awamu ya tano. Thi is lesson kwa wanachama.
YANA MQISHO JAMANI. MUNGU ANAJUA KILIO CHENU. KIBURI HUANGAMIZA MAPEMA SANA KWANI HATA NIMROD NA WABABELI WENZAKE WALISAMBARATISHWA BAADA YA KIBURI CHAO KIKITHIRI MBELE ZA MUNGU. HAKUNA SERIKALI ISIOANDALIWA NA MINGU. HIVYO MUNGU ATAWAOKOENI KWA MKONO WAKE QENYE NGUVU NA SIYO BINADAMU AU VYAMA...
Mungu awape nguvu za rohoni mtende kazi kadri ya nafsi zenu zinavyowaruma. MUNGU yu mwema siku isio na jina atawalipa haki zenu. Biadamu hatoi haki Mungu ndio mtoa haki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.