Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,087
- 1,913
Jana akihojiwa na kituo cha Azam live kutoka Namfua stadium,msemaji wa simba Haji manara amesema,", Siku ya jumanne ataongea mambo mazito dhidi ya Yanga na kuanzia Siku hiyo wanayanga hawatatumia mitandao ya kijamii
Njooni tubashiri,ni mambo gani hayo ambayo Manara ataongea mpaka aivuruge Yanga
Au tambo za mpira wa miguu,watani wa jadi
Ni kweli jumanne Yanga watasambaratika?
Njooni tubashiri,ni mambo gani hayo ambayo Manara ataongea mpaka aivuruge Yanga
Au tambo za mpira wa miguu,watani wa jadi
Ni kweli jumanne Yanga watasambaratika?