Recent content by Jacobunge

  1. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mh. Zitto kabwe

    mtoa mada kaandika vzr bt wachangiaji ndo wanahrbu jukwaa jamani tumpe kila mtu uhuru wake wa kuamua haijalishi kuwa ni mwana ccm,cdm,cuf,act , tukianza kubezana na kudharauliana huku ipo siku tutatafuta kulipuana!! wengi tunaamini zzk alfanya kosa kubwa la usaliti kama ilivyokuwa kwa yuda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi wana 'CUF' huko Lindi, Mtwara naTanga wataipigia kura CHADEMA?

    liko wapi jibu baya hapo???hv ww haujishtukii kuwa unapoteza muda kujadili vitu ambavyo vina harufu ya uvundo wa ubaguzi wa ccm?? tubadilike vijana ndo mana mokiwa alitutukana kijanja kupitia makambajr , kuwa hatuongozwi na wanyoa unga!!!!ni kwa sababu ya ujinga kama huu wa kukesha kwenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Faida ya Siasa za Chuki na Fitna

    si kwamba anawazwa isipokuwa mnatumika vibaya kwa sababu kama si beth ni doto na usipomwona doto yupo bokoaramu etc
  4. J

    JamiiForums Tanzania Unafiki na Usaliti wa Mwigamba dhidi ya tuhuma za ukomo wa madaraka katiba ya CHADEMA

    asome ili iweje??kwani wanaelewa nini??wakati wao wamekazana kunukuu magazeti ya mtanzania na uhuru kuhusu mwigamba# kwa hoja hizi za mtoi usishangae mtoi kutolewa meno na kucha!!!mtoi kuwa makini coz savimbi na tyson watakusaka popote ulipo ili kukun'goa meno then wasingizie udini,,ati ni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe asome alama za nyakati

    naelekea kuamini kuwa mnalipwa buku saba coz ww si mwanacdm lkn unawashwa kuhusu mbowe kama mwanamke mwenye utungu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yona Patrick njia panda kati ya ACT-Tanzania na CCMK NJIA PANDA ACT, CCM!

    unabishana na zombi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Joseph Warioba ajitosa kunusuru Mchakato wa Katiba

    walau tuwe tuna tumia akili kidogo hivi kama tume ingeweka kila,takwimu na idadi ya watu waliochangia kwenye, kipengele mbona kila kipengele kingekosa aslimia mia ya walotoa maoni?????? ebu wakati fulani tutumie akili tume imeandika vitu vingi na kila kitu kimezungumzwa kwa takwimu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

    haki ya baba ccm wamezalisha vijana wasomi ambao kichwani ni boksiiii ss na we unajiita msomi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Albert Msando sio raia wa Tanzania?

    mkimbizi mkuu,,,kwani haujamuelewa???? anamanisha ""mkimbizi zzk
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mh. Zitto alikuwa nguzo CHADEMA?

    nimegundua kuwa wengi mna mapenzi na cdm ila mmejaa mahaba ya zzk ss cha msingi ni kuwa tafuteni chama chenye sera nzuri kama cdm then muelekee huko na kijana wenu shupavu tumechoka kumjadili zzk kila siku,,,mnazidi kumdhallsha bure kwani kila siku mnaleta hoja hapa kumhusu yy unafkr...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies wamemzalilisha Benard Membe kwa wizi wao

    jamani acheni utani !!!wengine mbavu zinauma
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wa ACT, please read this

    mkuu maneno yako ni ya ukweli lakini umejaa unafiki mkubwa sana ni ww na mwenzako njano ndo mlokuwa mnasstza eti zzk kaonewa cz si mchaga ndo mana hatakiwi kuwa kiongozi. kumbe unatambua kuwa kuna kazi ya kujenga chama kabla ya kuandaa waraka wa ushindi!!??? lazima tuwe wakweli hauwezi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi wa ACT-Tanzania wapata ajali Morogoro

    ndo mana riz anawaita makanjanja we kweli ni mtu mzima au we mtu ,,,!!! tasnia imevamiwa na wahuni
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata amtungia wimbo mchumba wake

    amejitaidi kuongea kwa ujasiri sana redioni lakini ukimsikiliza kwa undani utagundua kuwa kaathirika kisaikolojia,,,
Back
Top Bottom