Hivi vyama vya upinzani havipo kimkakati kwasababu vilitakiwa kuwa na Malengo kwa mfano miaka 10 au mhula wa Jk wote wao walipaswa Kua wanamuuanda mtu ambaye sasa angesimama kama mpinzani sio hii yakusubiri mtu anatoka ccm eti wao ndio wanamuweka mgombea hii haitakaa ifanikiwe
Laxima wamuandee...
Ni week tu SUA nao wamepoteza wafunzi wawili Mmoja aligongwa na Haice Akapelekwa Uru kibosho huyu alikua anachukua degree ya utalii na mwingine aligongwa na Tren akapelekwa kwao mbeya huyu alikua achachuukua degree ya Education ndani ya week moja hii
Mm niliona live jana Bashiru akisema yule mzee alionesha sura flani ya ukakasi japo alitikisa kichwa kukubaliana na Bashiru ila niliwaza mbali hivi Bashiru aliwaza nini kusema vile au kuna nini nyuma yake nakama alijisemea mwenyewe basi siku sio nyingi atarudi kufundisha pale Udsm
Nahii inatokana na watu wengi kudhani umasikini wao unaletwa na mtu flani kumbe ni wivu tu
Unasema Ameiba wew ulikuwepo au tujifunze kuwa nahuruma haya bar imefungwa yeye amefingwa familia yake inapata tabu je wew katika kipato chako umeongeza kiasi gani zilitokana na bar kufungwa na mwenye bar...
Kifungu cha katiba kina sema kila mtu anayo haki ya kuchagiliwa na kuchagua
Makonda yupo sahihi na mm pia nimechukua fomu Morogoro mjini naamini nitapita na Makonda atapita watu wasio jua siasa ndio wanadhani Makonda amekurupuka
Niwakumbushe tu Makonda ni yule yule wa vyeti mliyepiga kelele...
Ulimboka yupo sana Nyumbani kwake
Kipindi kile alikua Rais wa chama cha Dakitari
Saiz ni Doctor wakawaida sasa utamsikia wapi
Ila kama unashida naye fika Ubungo Riverside pale Angalia kwa juu kama unaenda kibangu utaona kigorofa juu kimeandikwa Kidamai pita chini yake hapo kwenye kichochoro...
Professor E.Kimambo idara ya Animal Science hakuna mwenyewe uhakika na ugonjwa ila kwa mjibu wa msemaji wafamilia wakati wakuaga mwili wamesema mafua nakifua ndio ugonjwa ulio muuwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.