mi nafikiri huu msemo una maana ifuatayo, kwamba jambo lisipokukuta hauwezi jua uzito wake..lakini likikukuta ndo utakapo jua uzito wake...nafikiri kwa uelewa wangu mdogo nimeelewa hivyo..
work harder ndugu..maisha ya college ni mazuri sana kama unajitambua...inaoonyesha kijana ulikuwa bado haujajitambua...kwa ushauri wa bure franya ukaze buti kwa huu muda mfupi uliobaki labda unaweza ukachomoka na kuokoa jahazi..vinginevyo tutacall it a day...
Hizo ni rumas tu mwisho dunia bado haujatmbulika...na hakuna anyefahamu mwisho wa dunia..sababu hata ukisoma katika Biblia..hata Yesu mwenyewe hatambui mwisho wa dunia ni lini anayejua mwisho wa dunia ni MUNGU peke yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.