Recent content by Jacob Mg

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

    Kuna wakat utafika mtakapoamka lakin mtakua mmechelewa hata Muamar Gaddafi alijua anafikra kubwa na taifa lake na Afrika kwa ujumla lakni walimuita dikteta wale wasiopenda mafanikio hata siwashangai si mnataka kuona lakini mmefumba macho lazima muingie msikopajua
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet halotel ni zero

    Ndio mkuu
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet halotel ni zero

    Mara mkuu
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet halotel ni zero

    Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Fursa kwa wapenda nyeto
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Ule muda muafaka wa wanaume wa kibongo kuanza kuoa wanawake wazungu bila mikataba umefika. Ubaya midoli haitakufanya kuhisi uhalisia wa mwanamke
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio wa Sex Dolls: Dunia inaenda kasi

    Hahaha mwanamke naona kama anaisha soko hivi!
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

    Nimeipenda sana mkuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Huyu mdudu gani wakuu?

    K Kwa Kwel watapotea
Back
Top Bottom