rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
KalunguyeyeKwanza ukimgusa anajiviringisha, hicho kichwa kina kuwa hakionekan
KalunguyeyeKwanza ukimgusa anajiviringisha, hicho kichwa kina kuwa hakionekan
Mwerevu ni yule aulizae asilolijuwa,Kalagabaho.Yaani mtu kaweza kujiunga na JF lakini hajui kutofautisha Mdudu na Mnyama.. Aisee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni ufalaaKarungu yeye huyo kipindi hicho tunamshika kwa mkono kumuamishia kwenye migomba,akiingia kwenye zizi la ngombe wanaongezeka sana mwaka huo.Ila siku akionekana mita ya ubungo maziwa wanaume wa dar watajifungia ndani siku nzima.
Kwa Kwel watapoteaWahurumie maana muda sio mrefu watatoweka!
Karungu yeye (kipingu maria)Wapo wengi sana kilimanjaro hawa.