Haifai kusema ni bahati huo ni uzembe nakutokujiamini ktk nafasi Kuala. Ikulu sio sehemu ya kutoa excuses kama hizo. Pana jipu hapo! Makosa hayo hayo yanaweza kutumiwa kumpotosha hata Raisi. Embu anza kujitumbua kabla ya kutumbuliwa.
Labda hizi ndizo dalili za mwisho wa dunia na kwa hakika mwisho wake utaanzia Tanzania nchi inayoendelea kulaaniwa kila kukicha. Au tulikula nyama ya mtu?
Hao wajapani walikuja field na sio kujitolea. Leo hii vijana wetu wanamaliza elimu yao ya juu lakini je atapataje hiyo field! Hatuna mwelekeo kama nchi mambo yameachwa yaende no dira.
Mliikataa rasimu mpya katiba. Mkaamua kuisigina na sasa hiyo ni laana itaendelea kukutafuna tu hata mkimbilie uvunguni bado itakuibua. Rais Magu..fumuafumua hili bunge kabla aibu haijaifika jamii ya wadanganyika.
Mimi namiliki pinde mbili na mishale ya sumu, nina mikuki miwili na panga moja. Je nizisalimishe kituo gani? Je mkubwa anaweza kuja kwangu tabata kunifanyia uhakiki wa silaha zangu? Lakini ajue mishale ya sumu ni zaidi ya risasi!
Il wish that the colonization should come back again to the african countries and use all means and recources to to teach us the meaning and practice of democracy. The way they used to Impose the religions in the most of the african countries should be used also to teach and impose Democracy as...
It is true that Africa continent will remain as bblack as used to be More than 100 years back. At this age of science and fast growing technoledge still the blacks remain black.
Kitu kidogo tu kinachukua muda mwiiingi why? Tangazeni watu watoe mawazo yao zanzibar. Wengi wanapoteza muda wao ktk mitandao na hizi Tv za ovyo zinazotoa habari kwa maelekezo. Star Tv na TBC zinatia kichefuchefu kutizama taarfa zao za uchaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.