Recent content by Jackyme

  1. Jackyme

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    hivi mkuu sorry , niliweza kuopen account, iko ok, but nikifika kwenye hiyo sehemu ulo attach nikiweka kwenye kipengele cha 1v inaleta info tu, na nikihaweka zile detail za address, nida etc nikibonyeza nifinish hiyo sehemu niingie kuattach sasa zile documents inagoma (inaandika time out) tangu...
  2. Jackyme

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    dah watu maswali yenu
  3. Jackyme

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    kwa nini, muombee tu usimtamani
  4. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    kabisa, shukrani mkuu
  5. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    duh, itawezekana kweli mkuu? girlfriend wangu sio open minded kabisa, ataniacha sku hyo hiyo, not easy, sjui nafanyaje, au maybe nitafte huko nnje wengine?
  6. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    dah, ni kweli mkuu, yani imekua too late but i hope tachukua hatua nichange, sii poa
  7. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    nakuja mkuu, dah inaumiza sana me kua na haya mahisia[emoji26]
  8. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    kabisa mkuu sio poa
  9. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    anyway, niambie nikaombe where ambako you think will be a right place
  10. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    mkuu nitangaze biashara gani? ili iweje?natamani kua normal 100% kama vijana wengine, is it bad kuomba ushauri mkuu? dah
  11. Jackyme

    JamiiForums Tanzania (Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

    amen, nitoke aisee, is not normal na nia ninayo aisee
Back
Top Bottom