Recent content by jacksonfrancis

  1. J

    JamiiForums Tanzania Faini za barabarani zisizolipika: polisi na kitengo chenu cha trafiki mmejitakia

    Hayajakukuta. Yakikukuta utakuja hapa unalalamika.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Faini za barabarani zisizolipika: polisi na kitengo chenu cha trafiki mmejitakia

    Kuna dada mmoja yeye anatumia gari aina ya Vits amekutwa na kosa la kupakia abiria maeneo ya Segera Tanga. Yeye hajawahi kwenda Tanga ni gari anaitumia hapa hapa Dar. Amekwenda kulalamika akapigiwa simu huyo askari anayedaiwa kumkamata. Akajiumauma kujibu akadai alikosea kuandika namba ya gari...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Faini za barabarani zisizolipika: polisi na kitengo chenu cha trafiki mmejitakia

    Naona wewe hayajakukuta. Nimesema gari ina miezi zaidi yakumi haijatembea. Imefungiwa ndani. Haina bima. Imefunguliwa matairi. Nakuta gari linadaiwa kosa la mwezi April.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Magari ya Usalama wa Taifa kutanua wrong side kibabe Tutarajie ajali mbaya zinazozuilika

    Huyu jamaa alikuwa upande wake wa kushoto kwa barabara mbili zinazoelekea Tegeta. Ina maana was walitoka upande was wa barabara 2 zinazoelekea Mwenge wakaingia kwenye barabara zinazoelekea Tegeta.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Magari ya Usalama wa Taifa kutanua wrong side kibabe Tutarajie ajali mbaya zinazozuilika

    Sidhani kama ana makosa. Yeye alikuwa upande wake wa kushoto na si kawaida kukutana na gari uso kwa uso kwa njia inayokwenda Tegeta
  6. J

    JamiiForums Tanzania Faini za barabarani zisizolipika: polisi na kitengo chenu cha trafiki mmejitakia

    Mimi gari langu lina zaidi ya miezi 8 halijatembea kwa sababu nilikuwa nimesafiri. Na kwa sababu sikuwepo hata Bima halina tangu January. Juzi naangalia nakuta linadaiwa sh 60,000/= tangu mwezi April mwaka huu. Nashangaa kwa sababu hiyo gari haijawahi hata kutoka nje. Kosa ni kutokuwa na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

    Hii hadithi ni nzuri sana ila inakatizwakatizwa sana. Hiki kitabu nilikisoma siku nyingi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya kukaa vimenishinda

    Choo za kukaa ukienda na haraka zako unakaa bila kuangalia Kuna uwezekano ukakalia korodani zako
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Hii story umenikumbusha hadithi za Alfu Lela hela na safari 7 za Sindibad
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini DSTV ni ghali sana?

    Explora sasa hivi unaweza kupata vifurushi vya kunzia compact, compact + na premium
  11. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

    Teddy Mungu amlaze mahali pema peponi. Huyu jamaa alikuwa anafanyakazi Ikulu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Shinyanga Guest House yaungua moto, Mmliki wake aungua hadi kifo

    Du! Shinyanga Guest imeungua! Hiyo ni Guest ya siku nyingi. Ilikuwa katikati ya mji. Wasukuma wengi kutoka nje ya Mwanza walikuwa wanapenda kufikia hapo.
Back
Top Bottom