2000/= ya Tz kwa 15kg ya gas nchini Cuba kwa kweli sina vigezo vya kuhalalisha hoja yangu ila ukichakata kwa akili ya kawaida haiwezekani labda kakosea labda alimaanisha 20,000/=
Timu yangu ila kwa hili ikfungiwa nitapa utulivu wa nafsi, yani Engineer alikuwa anabembeleza kiaina ili akateuliwe kura za maoni Kongwa, mshenzi kabisa.
Uzi wako ni wa mihemko na ni kama umekurupuka ndotoni kwani hujui kuwa hata kingepmbanishwa na jiwe achilia mbali kivuli lazima kishinde au ni ktk criteria gani ya uzi wako,
Mitandao siyo ya kupuuzia sana pamoja na propaganda nyingi ila inaakisi kinachoendelea Wtz wa leo SI wa Karne iliyopita wanafatilia na kuongezeka mitandaoni." Hata mbuyu ulianza kama mchicha"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.