Recent content by Jackson Marwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Bariadi wafafanua video ya Askari na Bodaboda aliyekuwa na Magunia ya Alizeti

    Maelezo ya jeshi la polisi, na kilichorekodiwa kwenye video mbona kama vinakinzana. Kupambana kutoa gunia barabarani ndo kurusha ndani ya karavati, polisi wanajikuta washamaliza kila kitu katika haya maisha, lakini in reality ni walugaluga tu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

    Usipotoshe umma ndugu mwandishi, tumia kalamu{keyboard} yako kuelimisha na si kupotosha. Maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa njia ya kujamiana haitegemei ukubwa wa maumbile kwani hata yakiwa makubwa kiasi gani {uke}sio hole, bali ni kama mpira unaotanuka hivyo hata uume ukiwa mdogo na mwembamba...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa majukumu kutokana na ugonjwa

    1. Pole kwa changamoto inayokusumbua kiafya. 2. Tafuta kujua undani wa changamoto inayokusumbua na matibabu yake {inaezakua changamoto ya muda mfupi unayoweza kutibiwa na kupona au ikawa ya muda mrefu lifetime}. 3. Nenda kwa Msimamizi wako wa kazi ukiwa na viambata vya kuonyesha changamoto hiyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

    Kwa mujibi wa polepole,. Mchakato wa kupata mgombea wa kiti cha raisi kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi umenajisiwa, hivyo wanahitaji kujisafisha na kuanza mchakato upya, ili wapate legitimacy ya kwenda kwa wanachi kuomba kura. Bado kazi ngumu kweli, reforms sio kwa wapinzani tu, hadi ndani...
Back
Top Bottom