kuna costa wa kampuni ya kisbo mabasi yaendayo tabora aliwahi kuniuzia tikiti ya tabora akidai eti ni kampuni mpya ya mabasi yanafika kigoma. kweli sitamsahau kwa shida nilizopata na mwanangu. naomba MUNGU amlipe kwa utapeli wake alionifanyia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.