Ukiacha makasiriko na roho mbaya yako ya wivu utakuwa mchambuzi mzuri Tu Simba hawakufika hpo Kwa ghiliba na kujitangaza kwenye media kuna kazi kubwa ilifanyika na hata huko world cup club wataenda wakitimiza vigezo ww nyuma mwiko na akili zako kama kisoda msipo badilika mtabaki kulalamika humu...
Duhhh hapa nimeelewa kwhyo ikitokea hata kama umefungwa yaani kuna m2 kakufunga ili usifanikiwe waweza tumia njia hihi kujikomboa ? Yaani zoezi hili la kutumia damu ya mnyama na kujinenea mwenyewe ili kujifungua?
Makala nzuri Sana jitahidi utujuze basi tufahamu maana pia Nia nimoja la agizo tunloambiwa na hawa wanao jiita Aman of God. Tutafute yaliyofichwa sirini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.