Recent content by Jackmedia

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ashindwa kuyatoa mapepo ya Josephine

    Mi siongezi neno . jpili njema.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ashindwa kuyatoa mapepo ya Josephine

    my people! Hivi IMEWEZEKANAJE KWA MCHUNGAJI/ASKF GWAJIMA KUMFUFUA MTU NA KUYASHINDWA MAPEPO ALIYOSEMA JOSEPHIN ANAYO!!?
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisipowapigia simu marafiki zangu, wao hawanitafuti

    ha ha ha ! same tu me Jamaa M1 Kilambo asubuhi njema nice meal ucku mwema ukireply utakuka 'k' du!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    hv ile mtv base ya startimes haionyeshi!?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    hey people!! samsung garaxy not3 kwa bei ya mtanzania kama unayo nipm!:
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Mtoto aliefariki ni yatima hana baba wala mama *notsure
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    kisa ni askari kupiga mabomu katikati ya watoto wa shule ya msingi ndio wananchi wakapata hasira!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    oh! wamerudi na defender kibao mabomu ndio usiseme mbona tumetafuta njia!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Acha Tu! wananchi na wanafunzi wamechukua sururu na kuanza kuchimba barabara askari wakapiga risasi juu na kuanza kuporomosha mabomu mfululizo watu wakapiga mawe sana hadi askari wamekimbia so tunajaribu kuona kama watarudi kwa gia gani.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    gari kadhaa zimevunjwa vioo na bodaboda wanachapwa fimbo hatari! watoto hao.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    shule ya msingi bunju A.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Kama ulikua na ratiba ya kwenda bagamoyo acha kabisa. Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika mifagio na magongo na raia wako makini...
  13. J

    JamiiForums Tanzania IT services (bagamoyo road)

    wakuu! msaada kwa mwenye cd za program muhimu kama windows 7,xp,8 obunt,antivirus na zingine muhimu anisaidie nimepoteza poch ya cd kwenye harakati za mjini. kama unaishi bagamoyo road na maeneo karibu na hayo kama ubungo manzese mwananyamala tegeta boko bunju mapinga ntakufuata maana kazi...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapenda sana malaya

    we ndio hamna kitu yani kwa mwaka unalala na 15 tu! miaka yooote 10 umelala na 150 tu,, jipange tena hujala bado ujana! teh..
  15. J

    JamiiForums Tanzania Fanya hili zoezi kwa afya ya sauti

    Its Funny! Sio kila siku mziki, siasa, mapenzi. Sometimes mazoezi ya sauti yausike JF: ~Wote tuseme "umekula maharage ya wapi" kwa sauti ya Gwajima. ~Wote tuseme "hoooo" kwa sauti ya Rick Rossee pia. ~Wote tuseme "ivo ivo" kwa sauti ya Erick. ~Wote tuseme "ukiipenda sura...
Back
Top Bottom