Recent content by jack_son

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaidie Rais Magufuli kwa kuwafichua vigogo wenye mali zisizoelezeka

    Tatizo malezi
  2. J

    JamiiForums Tanzania John Heche: Vitisho dhidi yangu kuhusu mradi wa e-passports na vitambulisho vya Taifa

    Mbona wapinzani wanapenda huruma ya wananchi maana sasa kila mbunge wa upinzani anadai anaitishiwa maisha.....waache kulialia
  3. J

    JamiiForums Tanzania PIC: Kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) imejiendesha kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo

    Kwa faida tu ya wale wasiopenda kufanya utafiti kabla ya kuandika chochote Airline business is not a joke. Mashirika mengi na makubwa unayo yajua wewe ya ndege yanaedeshwa kwa hasara na yanakuwa yamejiwekea projection of a certain period of time kuanza kupata profit.kwahiyo ni kitu normal...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaidie Rais Magufuli kwa kuwafichua vigogo wenye mali zisizoelezeka

    Nchi ingekuwa na watu wengi wa mtazamo wa aina yako lingekuwa Taifa mfu na la kijinga zaidi duniani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Tanzania: Juma langu la Kwanza ndani ya Ukraine, Odessa

    Du bora ungebaki bongo hiyo hela ungeipata hapa hata kwa kulima kijijini shamba lako la heka hata mbili...,ila kupanga ni kuchagua pambana huwezi jua labda utatoka kimaisha lakini [emoji849]
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

    Omba wewe kazi utapewa maana unaonekana unawajua sana watu
  7. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Changamoto ni nyingi, Rais Magufuli yupo kwenye mstari sahihi

    Kijana msomi anatumia elimu yake kuelimisha jamii.....Bravo [emoji106][emoji106][emoji106]
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Magufuli: Wananchi hatutaki Passport za rangi ya blue

    Kama unaona taabu ya hiyo rangi utaifunika na cover ya rangi yoyote unayotaka wewe maana hizo cover zinauzwa hata barabarani na ndugu zetu wamachinga...,shida iko wapi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt John Magufuli amtembelea Mzee King Majuto hospitalini kumjulia hali

    Wewe umefanya ni cha maana katika nchi zaidi kushinda mitandaoni na kutoa lugha za kejeli...shame on you
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hana mfano Afrika kwa demokrasia

    Demokrasia ni uwanja mpana sana mbona TV stations zilzimwa zote ili sisionyeshe hilo tukio?
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

    Taja kiwango chako cha elimu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, ile project ya pale Tazara ni fly over(barabara za juu) ama ni daraja?

    Watanzania kwa kujifanya kujua kila kitu wakati hawajui
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli ni mvivu wa ku-tweet?!

    Kijijini tweets zitasaidia nini?do u think every person has a smart phone?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Reli ya standard gauge ya Rwanda na Tanzania ni kaburi la uchumi wa Tanzania

    Mtoa mada hayo ni maono yako lakini sina uhakika kama umefanya hata research ndogo ndo ukaja na andiko hilo for your information hiyo reli itasaidia sana kwa wafanya biashara na at the same time itasaidia kutokuharibu barabara zetu amabazo zimekuwa zikiharibiwa na ma semi tera ya mizigo yanayo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania DAR: Diwani kata ya Kimara(CHADEMA), Paschal Manota ajiuzulu Udiwani na kuvua uanachama; akabidhiwa kadi ya CCM

    This is terrible [emoji15][emoji15][emoji15]
Back
Top Bottom