Recent content by jacana

 1. J

  Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

  Mambo! sweet heart
 2. J

  Ni mkoa gani Tanzania unatamani kuishi?

  Wachanga bwana utadhania ushirikina hawaujui!!? Wakati December lazima akatabike
 3. J

  Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

  Mzee wangu alikuwa ni waya ya umeme☹️🙁, muda mwingine akitoka safarini nilihisi kama naota vile,😂😂kumbe ndio mzee amerudi.
 4. J

  Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

  Na me natamani niende jela nikae miaka 50,ili niisahau hii dunia
 5. J

  Hatua kwa hatua hadi Leirvik - Norway, kwa wanaotaka kufika Norway nitawaeleza hapa

  30m sawa ni ndefu,lakin lazima tujue gharama za maisha zikoje? 30m isiwe hela ya chakula tu na Kodi inaisha tunataka maendeleo hatutaki ufahari wa kuishi ughaibuni kisa mshahara wa 30m
 6. J

  Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

  Hii itawakubusha wazazi,wamiliki wa shule na vyombo moto,madereva pia kuwa makini wawapo barabarani ili isije kujirudia May 06 2017) nyingine
 7. J

  Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

  Unadhani ni kwa nini huwa tunakumbushia kuzaliwa na kufa kwa yesu
 8. J

  Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

  Unadhani marekani kuna nini cha zaidi,huyo ni Kama ndio anazaliwa sema tu amepewa kiazio cha maisha
Top Bottom