Recent content by JACADUOGO2.

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Pole sana kwa hilo. Kaza roho halafu utafute tu namna ya kuachana na huyo jamaa kwa kuwa hamna namna nyingine.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Matokeo rasmi ya kura ya maoni Nyamagana Wenje 168 Masagati 32
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    ???????????????????????????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ............................
  4. J

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Njaa ya kichwa ni mbaya sana kuliko ya tumbo!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Ni ujinga ujinga tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM chali Rorya!

    Ni kwamba baada ya CCM kugaragazwa vibaya sana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji Rorya hasa kwenye mamlaka ya mji mdogo Shirati wenye mitaa/vitongoji 9 ambapo CHADEMA walibeba mitaa 7 na CCM kuambulia mitaa 2 ndipo CCM Rorya walitangaza bifu na walimu Rorya kuwa ndo wamechangia ushindi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM chali Rorya!

    Hongera Kamanda Mwl. Jared Mwanga kwa ushindi wa kishindo katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) wilaya ya Rorya! Hii ni dalili tosha kabisa kwamba ukombozi unafika Rorya siku si nyingi. Na huu ni ujumbe na salaam kwa magamba wote wa Rorya. Salaam zimfikie Lakairo na Genge lake...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wabunge: Mkosamali aomba muongozo wa spika

    Nchi haina President!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    Lowassa ni janga la Taifa!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kikao cha 8, mkutano 19, Bunge la 10, maana yake nini? Soma ufafanuzi wake hapa

    Aweda ebu fafanua vizuri kwenye mtiririko huu;: Bunge la 1. 1960 - 1965 2. 1965 - 1970 3. 1970 - 1975 4. 1975 - 1980 5. 1980 - 1985 6. 1985 - 1990 7. 1990 - 1995 8. 1995 - 2000 9. 2000 - 2005 10. 2005 - 2010 11. 2010 - 2015 12. 2015 - 2020. Kwa nini hili Bunge 2010 - 2015 ni la 10...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

    Point of correction: Jimbo la Bukene liko kwenye Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega. Vinginevyo labda ubadilishe heading! Otherwise hongera sana Makamanda wa CHADEMA.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mizengo Pinda awasili Bunda mjini Mara

    Baada ya watu wa Bunda kutangaziwa kuwa leo waziri mkuu Mh. Mizengo P. Pinda anakuja kuzungumza nao juu ya namna ya kutatua kero ya maji mjini Bunda, watu walikusanyika kwa wingi ili angalau wapate neema ya maji hasa kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Alipoanza kuhutubia na kuanza kwa kumsifia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Red Brigade waliomtesa mlinzi wa Dkt. Slaa watelekezwa na CHADEMA!.

    Kitendo cha kuwa mwanaccm tayari unakuwa na mapungufu mengi tu kichwani. Yaani hapo bila aibu na wewe unaenda kupewa buku saba kwamba umefanya kazi ya uenezi wa chama! Haaaaaaa, kazi ipo Lumumba.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    Hongera sana Kamanda. Much Respect.....!!!!!
Back
Top Bottom