Recent content by jac salum

  1. jac salum

    Msaada: Namna ya kuacha kuvuta ugoro

    Inategemea kama rafiki zako wala ugoro ni ngumu au kama ugoro upo maeneo yako ngumu sana. Anza kuwa karibu na Mungu. Mawaidha na hisia za maombi yanafanya ukae mbali na maovu
  2. jac salum

    Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    fanya tafiti zaidi. mara nyingi yanakuaga maagizo toka ngazi za juu. Walimu wanapangiwa majukumu ya ziada , wakati mwingine huwa nje ya muda wa kazi. Hamna mwalimu asiependa kupumzika na kufanya shughuli zake za kimaendeleo.
  3. jac salum

    4G Smartphone Kitochi, Tigo/ Voda?

    Brother naomba msaada kama unafahamu.simu yangu ya T-SMART(TIGO), Nimenunua tigo shop, leo nimewasha imewka imeandika neno karibu to T-Smart by Tigo. imeganda hapohapo sasa sijui nafanyeje maana ipo ivoivo kutwa nzima
  4. jac salum

    Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

    Unatazama kwenye simu? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jac salum

    Scientific calculators bei nafuu

    Nahitaji fx 991ms 2nd Edition. Nitajuaje kama feki au OG
  6. jac salum

    Kweli Mo anaichezea Simba

    We Kama kweli ni mwana michezo. Tokea Mo awe karibu na Simba sc. Haujayaona mafanikio yake. We ulitaka tufanane na Yanga Sc au Ndanda? Sasa tuambie wewe nan anafaaa kuchukua Simba na ndani ya miaka 2 tuwe na mafanikio kama ya kucheza Champions League na kufikia hatua ya Robo fainali. TUWE WAVUMILIVU
  7. jac salum

    Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

    Anaweza kucheza EPL , kwa timu ya taifa hii mchukue CR7 lazma atakua useless tu
  8. jac salum

    Wapi Taifa linaelekea?Huyu ni Mwanafunzi kidato cha Tatu.

    Tupunguze kuwalaumu walimu. Mwanafunzi akipata A au B wanamsifia kuwa genius. Akipata F wanasema mwalimu ajui kufundisha. Ina maana umuhim na shukran kwa mwalim anapewa wapi? Walimu wa shule za kata wanajitahudi kupunguza zero maana wanafunzi wenyewe ni shiida tupu na form two anapita na D mbili...
  9. jac salum

    Mimi sitovaa jezi ya TP Mazembe ila nitavaa uzi wa Juve Uzalendo uliisha kwenye nusu bei viva Mazembe

    Nakushauri uvae na nguo nyingine kwa ndani. Endapo Simba ikishinda vua ya Mazembe ubaki na nguo ya kawaida . Sent using Jamii Forums mobile app
  10. jac salum

    Mimi sitovaa jezi ya TP Mazembe ila nitavaa uzi wa Juve Uzalendo uliisha kwenye nusu bei viva Mazembe

    Utajipatia presha endapo Simba ikishinda wewe utakimbilia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. jac salum

    Messi ni kama wifi nje ya Barca hamna kitu

    Wewe Argentina timu mbovu tu. Haina mipango. Very poor Chemistry. Uwez mlaumu Messi. Mchezaji yeyote bora anaonekana kwenye timu bora (iliotengezwa vizuri.) we umeona beki ya Ajentina? Mbovu balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jac salum

    Simba SC imepangwa kundi gumu ila ratiba ya kundi itawabeba

    ingekua kusikiza maneno yenu tusingefika hapa. Sisi tunajua kuwa Vyura ni mabingwa kwa kukata tamaa mapema mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. jac salum

    Simba SC imepangwa kundi gumu ila ratiba ya kundi itawabeba

    Mkuu wanaoongoza kukata tamaa ni Vyura FC. Msimu ulioisha walipangwa kundi la vibonde wakawa wanagawa points tu kwa kukata tamaa mapema. Fuatilia utaghndua Simba hatukatagi tamaa. Kama tutatolewa basi kwa kupambana si ku-give up rahisi rahisi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jac salum

    MSAADA: JINSI YA KU_ROOT SIMU TECNO K 7.

    Nimetumia kingo root app, nimefeli kuroot. Mwenye ujuzi anielekeze. Nimeambatanisha na picha jinsi nilivofeli kuiroot
Back
Top Bottom