Recent content by jaapstam

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

    Kwani upo kijiji gani mkoani? Maana kama ni mjini watu hawatongozi siku hizi, una mwelekeza tu kisela
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

    Apate experience
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    Uza simu hio unayoingia mayo jamii forum alafu nunua unga na michele weka ndani na gas jaza kabisa utakuja kunishukuru badae alafu ingia mtaani au njoo hulu town pita kila ofisi omba kaz kila siku ndani ya wiki utakua ushapata
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lipa kidogo kidogo

    Mapipa ni used tuu hakuna vipya
  5. J

    JamiiForums Tanzania Internet service provider

    Zuku Bei gani
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lipa kidogo kidogo

    Now days wafanya biashara wamekuja na mbinu mpya za kuuza bidhaa zao, wanakopesha the. Unalipa kdg kdg kwanzia pikipiki, bajaji simu nk, Sasa kwa anaejua wanapokopesha fridge au tv anipe location hapa dar
  7. J

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Watangazaji Clouds PB, sawa na Wafanyakazi wote kwa Redio Ingine

    lakini bado hawafikii ubora wa #jotolaasubuhi
  8. J

    JamiiForums Tanzania WCB Label Wanawahitaji CLOUDS MEDIA kuliko hata Wcb wanavyowahitaji Babu tale na Sallam sk

    Robidinyo, Watashindana lakini hawatashinda. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Uzushi wa kifo cha meja kunta

    Siku akifa kweli hatulii tena tushalia tushamaliza apumzike kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

    Laki 3 ndo size yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Madawa ya kulevya yasimamisha biashara ya Mlonge kutoka Tanzania

    yajayo yanafurahisha tuko tayari
Back
Top Bottom