Recent content by J_Okay

  1. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Mweee! Kumbe Kikwete naye anagombea mwaka huu hamniambii mwenzenu?
  2. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia kuanza kampeni kwa kishindo lakini rekebisha mahusiano yako na taasisi hii

    NA J_Okay Hatimaye kampeni zimeanza, huku Rais Samia Suluhu Hassan akitafuta miaka mitano mingine ya kukamilisha kazi yake. Ionekanavyo, Rais Samia atapita kwa urahisi, ingawa idadi ya wapiga kura inaweza kuwa ndogo. Ukweli usemwe, ukizingatia namna alivyoingia madarakani kwa bahati tu, na...
  3. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Akifanya selective criticism (or should we say attack) targeting some people and not others for issues they are all guilty of, including Polepole himself; we have to question it.
  4. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Issue sio kukosoa bali ni narrative, tone, arguments zako katika kukosoa ndio zinazoku expose.
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Hao Gwajiboy na Polepole ... mbona hawakosoi hayo yaliyofanywa na mwenda zake na badala yake wanakumbukumbu nzuri sana ya uovu wa kikwete... selective retention eeeh!?
  6. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Jenga hoja mahsusi
  7. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Sasa kwa nini haya hawayazungumzi?
  8. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia? Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo, nina hakika tusingeyajua yote haya nina hakika maana asingekuwa na haja ya kulipa kisasi. Falsafa ya...
  9. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
  10. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Shangwe la ‘Mlete Mzungu’ Lina Harufu ya Ubaguzi wa Rangi

    kibwagizo cha Mlete Mzungu kilichoasisiwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally alipokuwa akimtambulisha mchezaji wao mpya mgeni, Dejan Georgijević hapo Agosti 8, 2022, siku ya tamasha la klabu hiyo lililofanyika uwanja wa Benjamin William Mkapa, kimepata umaarufu...
  11. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Mjadala mpana: Rais ateue kuzingatia uwezo tu au angalie uwiano wa makundi pia?

    Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia. Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu Kuna malalamiko ya kanda fulani kupendelewa, kama mkoa wa Pwani kuwa na mawaziri (na maanaibu) 5 Kuna malalamiko kuwa walioachwa...
  12. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kaze
  13. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Ni halali mbunge kuajiriwa Ikulu?

    Swali ni, je ni haramu?
  14. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Ishu sio hadhi ya mashindano Ishu ni kocha msaidizi hakubaliana na falsafa ya kocha mkuu na hii inatengeneza mkanganyiko. Fei anachezeshwa second striker, yeye kamrudisha namba 8. Naweza kutoa mifano zaidi
Back
Top Bottom