Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

kawapa mabinti ukuu wa wilaya pia diamond kapata tuzo Chanel o na mtv .kigoma kama dubai
 
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

---2005 Alikuja na Maisha bora kwa kila Mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa Watanzania,Kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

---Juzi amekuja na mpya ya kumpatia kila mwanafunzi Computer ambayo iko connected kwa internet, it's high time now kwa watanzania kuhoji uwezo wa RAIS wetu,ni kwamba anafanya Wa Tanzania ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi ku reason kuwa hilo sual haliwezekani???

Hata kwa wanafunzi tu wa vyuo vikuu hilo suala halitekelezeki leo anatuambia ataanza na shule za msingi,umeme ni tatizo..hivi jk anajua kuwa its only 10% ya wa Tanzania wana access na umeme na 0.05% ya watanzania ndo wanaweza kutuima computer na wana access na internet,hata kwa nchi ambazo zimeendelea kuzidi sisi hilo suala halipo,,yeye anataka kuhadaa Wa Tanzania aili aendelee kubaki madarakani!!!!!me nadhani pia JK na uwezo mdogo sana wa ku reason ndo maana hata hafikirii kuwa suala kama hilo watu wenye akili timamu hawawezi kusadiki,inahitaji mtu mwenye akili za mwenda wazimu kuamini ahadi kama hizo.

----WITO WANGU
Nawaomba wana JF wooote..mu influence watu wenu wa karibu wasimchague JK na CCM yake,watatoa ahadi nyingi sana,watasema watajenga fly over,watasema watajenga majumba angani--->tuwapuuuze na ahadi zao hizo...tuwaulize kati ya zile walizoahidi 2005 ni ngapi wametekeleza mpaka tuwape ajira nyingine kwa miaka mitano!!!!!!

Watakuja na gia ya kuwa wamejenga DOdoma University,tuwapuuze pia kwa sababbu kwanza ulikuwa ni ukumbi wa bunge wa zamani (chimwaga),halafu huo ni wajibu wake...tuipuuzie kete ya kipuuzi kama hii.
SAY NO TO CCM-----SAY NO TO JK-----WANYIMENI KURA

-----------------------------
Miezi 22 kabla ya uchaguzi mkuu:Tujikumbushe ahadi za Kikwete 2010, ngapi zimetekelezwa hadi sasa?

Naona Pombe Kufuli nae anakuja na ahadi lukuki lakini mambo yatakuwa yalele. HATUDANGANYIKI!!!!!!
 
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam
mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
(HAJATEKELEZA)
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga
mjini (HAJATEKELEZA)
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria- Igunga
(HAJATEKELEZA)
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa
wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
(HAJATEKELEZA)
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
(HAJATEKELEZA)
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-
Dodoma mjini (HAJATEKELEZA)
7. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo,
Dodoma (HAJATEKELEZA)
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya
Misenyi-Kagera (HAJATEKELEZA)
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi- Kagera
(HAJATEKELEZA)
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba- Bukoba
Mjini (HAJATEKELEZA)
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma -
Kigoma Mjini (HAJATEKELEZA)
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda-
Kagera (HAJATEKELEZA)
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na
Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya
umeme- Kagera (HAJATEKELEZA)
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-
Kagera (HAINA MENO)
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua
albino- Mbeya (MAUAJI YANAENDELEA)
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-
Kagera (HAJATEKELEZA NA ZILIZOPO MBOVU
HAZIFAI)
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya
wajasiriamali (HAJATEKELEZA)
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-
Mwanza (HAJATEKELEZA)
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa
Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye
vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
(HAJATEKELEZA)
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari
mwakani- Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote- Pemba
(KERO HAZIJATATULIWA)
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko
Kilosa-Morogoro (HAJATEKELEZA)
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-
Mbeya mjini (HAJATEKELEZA)
24. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
(HAJATEKELEZA)
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo
- Songea (HAJATEKELEZA NA WALIMU
WAMEPUUZWA WANAULIZA -SHEMEJI
UNATUACHAJE?)
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -
Mbeya (HAJATEKELEZA)
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama-
Tanga (HAJATEKELEZA)
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba
wajawazito hasa vijijini- Iringa (HAJATEKELEZA)
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami
kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na
kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es
salaam- Same mkoani Kilimanjaro
(HAJATEKELEZA)
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya
Same-Same Mjini (HAJATEKELEZA)
31. Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
(HAJATEKELEZA)
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za
sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu-
Kisesa Magu (AMETEKELEZA)
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya-
Mbeya Mjini (HAJATEKELEZA)
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba
nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)- Hydom
Manyara (HAJATEKELEZA)
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko
za kidini, kikabila na kisiasa-Musoma
(HAJATEKELEZA CCM NDIO CHANZO CHA
CHOKOCHOKO)
36. Kulinda haki za walemavu- Makete
(HAJATEKELEZA,WANATUMIKA KWENYE
KAMPENI TU)
37. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa
kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa
mjini (HAJATEKELEZA)
38. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu
Arusha-Arusha (HAJATEKELEZA)
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga
Mjini (HAJATEKELEZA)
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni- Kigoma–
Kaliua,Tabora (HAJATEKELEZA)
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi- Arusha
Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni,
Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
(HAJATEKELEZA)
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea
wakati wa ukame mwaka 2009- Longido
(HAJATEKELEZA)
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka
kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa
Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa
maji - Shinyanga (HAJATEKELEZA)
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba
mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
(HAJATEKELEZA NCHI IPO GIZANI)
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo- Busekera,
Wilaya ya Musoma, . (HAJATEKELEZA)
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya
Longido- Longido (HAJATEKELEZA)
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni
mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti – Ngorongoro
(HAJATEKELEZA)
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya
kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na
kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani
Manyara (HAJATEKELEZA)
50. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
(HAJATEKELEZA)
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za
afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na
utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-
Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya
wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo
za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
(HAJATEKELEZA NA HALI NI MBAYA SANA)
52. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika-
Iringa
53. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika
Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi
kubwa kuliko zote Tanzania- Iringa
(HAJATEKELEZA)
54. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili
kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
(HAJATEKELEZA - CHOKOCHOKO ZA CCM
ZINAHATARISHA AMANI)
55. kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa
Mara (HAJATEKELEZA)
56. kuwapa wanawake nafasi zaidi- Kilolo ,Iringa
(ANGALAU)
57. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi
mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
(HAJATEKELEZA)
58. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja
Zanzibar kuwa ya rufaa- Kabandamaiti mjini
Zanzibar (HAJATEKELEZA)
59. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika
msaada-Kibandamaiti (HAJATEKELEZA)
60. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-
Ruvuma (HAJATEKELEZA)
61. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa
kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
62. kufufua chama kikuu cha ushirika cha
wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
(HAJATEKELEZA)
61. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama
kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
(MISAADA YA VYANDARUA NA VYOO KWA
MSAADA WA WATU WA MAREKANI)
62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu
baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
(HAJATEKELEZA)
63. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
(HAJATEKELEZA)
64. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua
viluilui vya mbu-Kibaha (HAJATEKELEZA)
65. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa- Kibaha.
(HAJATEKELEZA)
66.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga
eneo maalumu la viwanda -Kibaha
(HAJATEKELEZA) N.K
CCM HAIAMINIKI TENA,WAKATI UMEFIKA CCM
INAPASWA ITOLEWE KWA NJIA YA KURA
MADARAKANI?..KWA NINI WASITEKELEZE AHADI
HIZI KABLA YA KUAHIDI ZINGINE?....CHAGUA
LOWASSA..CHAGUA UKAWA (CHADEMA
 
Kikwete anagombea nafasi gani katika uchaguzi huu???

Nenda Monduli kawaulize katika ahadi zake Lowassa katekeleza ngapi?
Maji, Umeme, Barabara, Elimu Monduli, vituo vya afya bado ni kitendawili kikubwa.

JK hajatekeleza ahadi...chagua Lowasa!!!???
Huo wimbo wa ahadi za JK ulitakiwa uuimbe 2010...
Umezinduka kumekucha...
 
Back
Top Bottom