Jaribu kuwasiliana na ile no ambayo iko chini kwa Emails yako upate usahihi kabisa
Since kimsingi unaweza attempt pekee kwa range ya muda uliopangiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda kwa mganga si dhambi hakuna shida yeyote katika Hilo kwenye new world waliowengi hukimbilia hospital
Tatizo na dhambi inapokuja ni hapo kwenye ushirikina
SHIRKI NI DHAMBI NA NILAANA PIA
Yako Mambo ambayo huwez mpa mwanadamu mwenzio na kumuamini kuwa yeye ndo atamaliza yote
SHIRKI...
Mkaruka, Ni sahihi kabisa Ndugu
Huyu atumie diploma yake Kwanza ikiwezekana ajitegemee mwenyewe kabisa
Cha msingi aseme ni diploma gan ili tukiona tangazo la kazi linalomuhusu tumjuze pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise kumbe tayar ana diploma ,
Elimu ya juu si lazima Ndugu vyema atumie hyo diploma Kwanza Tena Kama wewe ni mzazi HONGERA kazi yako hapo imeisha muache atumie hyo diploma Kwanza
Diploma yake n field gan??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya yakwako Sina mgombea kati yao hao lakin kwa hao watatu kitila mkumbo mtoe kabisa njia anazotumia changa sana hana uzoefu kwenye siasa japo alianza toka tukiwa udsm
Mwigulu ni mwenyeji mzoefu vita vya angani na nchi kavu ana nafasi kubwa Sanaa
Mke wa kafulila ni mzuri jukwaani akirudi...
Mkaruka, Huu ni ushauri wa walionacho siku zote,
By the way mleta mada fanya jitihada mpaka mwisho mwanao apate Ada mrudishe chuon aendelee kusoma ada hulipi kwa mara moja
Tumia njia yakuandika barua kwa uongoz wa chuo wakuomba kuongezewa muda wakulipa' hii anaweza kuandika ata mwanao mlipiwa...
Vyema Kila mtu aendele na practice naona possibility kubwa Sanaa ya kufanya test kwa mara nyingine Endapo wataamua kuchukua na wenye 80th percentiles
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.