Recent content by j007

  1. J

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    walituaminisha Lowasa ndiye fisadi pekee,sasa wanaumbuka,
  2. J

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    "nitaanzisha mahakama ya mafisadi"kumbe jamaa alikua anajua mafisadi ni wakina nani,kaza baba Magufuli rais lazima awe na uso wa mbuzi
  3. J

    Maajabu ya Magufuli

    tatizo wana copy na kupaste,inabidi wajipange upya ahadi za makufuli jujenga flyover dsm ni kila mwaka wa bajeti uliongelea,nikashangaa tena jangwani analiongelea,unamdanganya mtu mpaka anakushtukia
  4. J

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    mkuu kumbuka misiki na makanisa walishapata migao yao mapema kipindi kile cha harambee,sasa hapo sioni shida
  5. J

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    hapo solution ni kususa na kumrudishia michango yake yote aliyotoa ili kujenga misikiti
  6. J

    Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

    mkuu ni kweli ila napata wasiwasi sana na wengi waliojitokeza maana wamekua wakiuza sera zao kwa kuikosoa serikali iliyoko madarakani at the same time bado wamekalia viti,sasa hii inamaanisha mpaka sasa hakuna mgombea aliye kamilika asilimia mia moja ndani ya chama maana kila mmoja anamapungufu yake
  7. J

    Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

    mkuu namaanisha mgombea atakaye kubalika na wanachi wengi na kisha kupigiwa kura nyingi kama ilivyokua kwa Kikwete,
  8. J

    Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

    inawezakana mkuu maana jamaa anaushawishi ukijumlisha za zile shule zake za kata anazidi kupata nguvu
  9. J

    Lowassa na Pinda ndani ya Katavi kutafuta wadhamini

    tatizo hapo ni kwa ccm kupata mgombea anayeuzika kama alivyosema mh raisi,sasa na sisi tujiulize swali mtu kama Pinda anauzika maana we know him very well,sasa hapa finally usije kushangaa Lowasa akawa mgombea wa ccm,maana mgombea asiye uzika atawapa nguvu ukawa
  10. J

    Waraka wa John Bocco kuhusu timu ya Taifa

    wanachezaji wamekosa maharifa kabisa
Back
Top Bottom